Chuck j
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 2,366
- 828
Mkuu umetumwa au?Si ulete hapa huo uthibitisho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umetumwa au?Si ulete hapa huo uthibitisho?
PICHA:KIKWETE APEWA HESIMA YA UPROFESA CHINA>>HONGERA KWAKE!!Jk ni professor?Kweli huko UPINZANI yamejaa MAKALAI.

Safi mkuu,,alafu analeta hbr ya u pinzani hapaPICHA:KIKWETE APEWA HESIMA YA UPROFESA CHINA>>HONGERA KWAKE!!
Raisi kikwete yupo nchini China kwa mualiko wa Raisi wa china Xi JinPing,katika ziara hiyo amefanikiwa kufanya makangamano kadhaa ya kiuchumi pamoja na kushereheka mika 50 ya ushirikiano wa Tanzania na Uchina.
Ushirikiano ambao bado sasa unadumu tangu awamu ya J.K Nyerere. Pamoja na hayo amepata heshima ya kutunukiwa hadhi ya uprofesa.
Raisi Mh. Jakaya Kikwete akihutubia mkutano naada ya kupewa heshima hiyo ya Uprofesa katika China Agricultural University.
Mkuu haiitaji degree kuwa jk ni dokta tena wa kupewa.Sijui unaweza leta ushahid wa kiofisi may be kutoka ofisi ya Rais au sehem yyt ile ambapo jk wanamwita professor. Hata uteuz wa juz tu hapo udsm unamtambua kama Dr jk sio professor jk.PICHA:KIKWETE APEWA HESIMA YA UPROFESA CHINA>>HONGERA KWAKE!!
Raisi kikwete yupo nchini China kwa mualiko wa Raisi wa china Xi JinPing,katika ziara hiyo amefanikiwa kufanya makangamano kadhaa ya kiuchumi pamoja na kushereheka mika 50 ya ushirikiano wa Tanzania na Uchina.
Ushirikiano ambao bado sasa unadumu tangu awamu ya J.K Nyerere. Pamoja na hayo amepata heshima ya kutunukiwa hadhi ya uprofesa.
Raisi Mh. Jakaya Kikwete akihutubia mkutano naada ya kupewa heshima hiyo ya Uprofesa katika China Agricultural University.
Akiwa anatoa hotuba ya Kumsimika Makamu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam. Prof. William Lazaro Anangisye, ametoa Mfano akiwa mwenyekiti wa CCM huko Mtwara akotokea Jeshini. Aliambiwa Ukitaka Mambo yako yafanikiwe "Haki ya Mungu" Fulani na fulani kaa Mbali nao!
Mwishowe kasema, Tengeneza adui Wako Mwenye "Za Kupewa Changanya na za Kwako'" Za Mbayuwayu.
Kasema ishi na Mtu kama alivyo, tuchukuliane na madhai ya kila mmoja!
Fundisho: Kuna Ujumbe bila shaka Umemfikia bwana yule, Ametengenezewa maadui pia hawezi Kuchukuliana Kama ilivyo kwa wanadamu hakuna aliyekamilika. Vyeo ni vya Muda tu na Kitambo kifupi tutaishi na Jamii hii hii tunayoitesa tukiwa na Vyeo.
Big up Prof. Jakaya Kikwete.
Duh[emoji50] ! [emoji1] ...Kama hujui hilo basi wewe ni kopo la chooni kabisa
Eti kanakuwa kibamiaAna presha hapo lakini mzeemzeseya seya hana muda.tena na salima ndo kashajizeekea hata fungus za gerezani zinaerode kanakuwa kabamia