Jakaya Kikwete: Usirithi adui ya mtu... Tengeneza Adui yako Mwenyewe, lakini...

Jakaya Kikwete: Usirithi adui ya mtu... Tengeneza Adui yako Mwenyewe, lakini...

Mkubwa akipata jukwaa husema makubwa hasemi madogo. ujumbe unalenga taifa na si huyo makamu pekee. ayasemayo huweza kupata tafsiri nyingi lakini mwenye kujua zaidi ni msemaji.
 
Mkuu mda uliotumia kujibu hili kwann usingejielekeza kuja na hoja kuthibitisha jk kuwa ni professor?
Nilitaka kwanza kuthibisha uraia wako maana inaonekana hukuwepo akitunukiwa. Japo siuungi mkono lakini alipewa
 
Akiwa anatoa hotuba ya Kumsimika Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam. Prof. William Lazaro Anangisye, ametoa Mfano akiwa mwenyekiti wa CCM huko Mtwara akotokea Jeshini. Aliambiwa Ukitaka Mambo yako yafanikiwe "Haki ya Mungu" Fulani na fulani kaa Mbali nao!

Mwishowe kasema, Tengeneza adui Wako Mwenye "Za Kupewa Changanya na za Kwako'" Za Mbayuwayu.

Kasema ishi na Mtu kama alivyo, tuchukuliane na madhai ya kila mmoja!

Fundisho: Kuna Ujumbe bila shaka Umemfikia bwana yule, Ametengenezewa maadui pia hawezi Kuchukuliana Kama ilivyo kwa wanadamu hakuna aliyekamilika. Vyeo ni vya Muda tu na Kitambo kifupi tutaishi na Jamii hii hii tunayoitesa tukiwa na Vyeo.

Big up Prof. Jakaya Kikwete.
Umendika upuuzi mtupu unaochochewa na hasira na chuki kwa serikali ya Magufuli.
 
Wewe ndo una haraka ya kumjibu kama umetumwa kufanya
damage control...

Kikwete anajua ujumbe wake hasa unamlenga nani...
watu wa pwani wanaweza kumtukana mtu kwa kumsifia
Hapo nimekuelewa vizuri sana. Pengine hata Mzee Ruksa aliposema bwana yule apewe hata miaka 40 alikuwa anamtukana! Pwani ni hatari!
Maana ilikuwa ni siku chache zimepita toka atangaze kuwa tunaenda kama Gari bovu.
Sasa sisi tusiojua kiswahili wote tukamshambulia Ruksa!
 
Akiwa anatoa hotuba ya Kumsimika Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam. Prof. William Lazaro Anangisye, ametoa Mfano akiwa mwenyekiti wa CCM huko Mtwara akotokea Jeshini. Aliambiwa Ukitaka Mambo yako yafanikiwe "Haki ya Mungu" Fulani na fulani kaa Mbali nao!

Mwishowe kasema, Tengeneza adui Wako Mwenye "Za Kupewa Changanya na za Kwako'" Za Mbayuwayu.

Kasema ishi na Mtu kama alivyo, tuchukuliane na madhai ya kila mmoja!

Fundisho: Kuna Ujumbe bila shaka Umemfikia bwana yule, Ametengenezewa maadui pia hawezi Kuchukuliana Kama ilivyo kwa wanadamu hakuna aliyekamilika. Vyeo ni vya Muda tu na Kitambo kifupi tutaishi na Jamii hii hii tunayoitesa tukiwa na Vyeo.

Big up Prof. Jakaya Kikwete.
Geinye mbaya mkuu, unawekea watu maneno vinywani! Angalia hilo nalo ni dhambi ukipenda
 
Wewe ndo una haraka ya kumjibu kama umetumwa kufanya
damage control...

Kikwete anajua ujumbe wake hasa unamlenga nani...
watu wa pwani wanaweza kumtukana mtu kwa kumsifia
Kama Mzee Mwinyi alivyomtukana bwana yule kuwa miaka kumi ikiisha aongezewe mingine.
 
Leo mnapenda na kumuona na busara kibao ....mliyekuwa mnamwita kilaza sasa kawa lulu ....ngoja na JPM astaafu ...
 
hapa ndipo mmefikia mwisho wa kufikiri. Mnaokoteza vijimambo vya mtaani na kuvileta hapa kama hoja.
[HASHTAG]#mazishi[/HASHTAG] ya mbwa wa joshua.
 
Back
Top Bottom