Jakaya Kikwete: Usirithi adui ya mtu... Tengeneza Adui yako Mwenyewe, lakini...

Wewe ndo una haraka ya kumjibu kama umetumwa kufanya
damage control...

Kikwete anajua ujumbe wake hasa unamlenga nani...
watu wa pwani wanaweza kumtukana mtu kwa kumsifia
Mnajitahidi sana kujifariji
 
Fundisho: Kuna Ujumbe bila shaka Umemfikia bwana yule, Ametengenezewa maadui pia hawezi Kuchukuliana Kama ilivyo kwa wanadamu hakuna aliyekamilika. Vyeo ni vya Muda tu na Kitambo kifupi tutaishi na Jamii hii hii tunayoitesa tukiwa na Vyeo.

Unaandika kama ukimbizwa. Unahofu gani wewe, au mwenzetu ni upande mwingine?
 
Leo mnapenda na kumuona na busara kibao ....mliyekuwa mnamwita kilaza sasa kawa lulu ....ngoja na JPM astaafu ...
Daima sisi siyo Wanafiki kama yule bwana anayesema Mimi Msema Mkweli na Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu. Anawapandisha vyeo wanaowanunua Madiwani wa Upinzani pia Kuruhusu Utawala wa Mabavu.
 
Akiwa anatoa hotuba ya Kumsimika Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam. Prof. William Lazaro Anangisye, ametoa Mfano akiwa mwenyekiti wa CCM huko Mtwara akotokea Jeshini. Aliambiwa Ukitaka Mambo yako yafanikiwe "Haki ya Mungu" Fulani na fulani kaa Mbali nao!

Mwishowe kasema, Tengeneza adui Wako Mwenye "Za Kupewa Changanya na za Kwako'" Za Mbayuwayu.

Kasema ishi na Mtu kama alivyo, tuchukuliane na madhai ya kila mmoja!

Fundisho: Kuna Ujumbe bila shaka Umemfikia bwana yule, Ametengenezewa maadui pia hawezi Kuchukuliana Kama ilivyo kwa wanadamu hakuna aliyekamilika. Vyeo ni vya Muda tu na Kitambo kifupi tutaishi na Jamii hii hii tunayoitesa tukiwa na Vyeo.

Big up Prof. Jakaya Kikwete.
Siyo ilikuwa fundisho kwa hadhira yote iliyokuwepo pale eneo la tukio? Mh!
 
Leo mnapenda na kumuona na busara kibao ....mliyekuwa mnamwita kilaza sasa kawa lulu ....ngoja na JPM astaafu ...
Kumjua mzuri ni mpaka uone mbaya , yukoje, utamtambua mrefu baada ya kuona mfupi... Sifa nzuri au mbaya ni mpaka uone mbadala wake.... wamelinganisha A na B, wakagundua ni afadhali ya jana kuliko leo.
 
JK siku akienda muona Lissu ataongea maneno yatayosababishwa nchi itikiske
 
Kumjua mzuri ni mpaka uone mbaya , yukoje, utamtambua mrefu baada ya kuona mfupi... Sifa nzuri au mbaya ni mpaka uone mbadala wake.... wamelinganisha A na B, wakagundua ni afadhali ya jana kuliko leo.
Kukuelewa akili Ndogo hawa Kijani ni ngumu aisee! Wasamehe bure!
 
Akiwa anatoa hotuba ya Kumsimika Makamu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam. Prof. William Lazaro Anangisye, ametoa Mfano akiwa mwenyekiti wa CCM huko Mtwara akotokea Jeshini. Aliambiwa Ukitaka Mambo yako yafanikiwe "Haki ya Mungu" Fulani na fulani kaa Mbali nao!

Mwishowe kasema, Tengeneza adui Wako Mwenye "Za Kupewa Changanya na za Kwako'" Za Mbayuwayu.

Kasema ishi na Mtu kama alivyo, tuchukuliane na madhai ya kila mmoja!

Fundisho: Kuna Ujumbe bila shaka Umemfikia bwana yule, Ametengenezewa maadui pia hawezi Kuchukuliana Kama ilivyo kwa wanadamu hakuna aliyekamilika. Vyeo ni vya Muda tu na Kitambo kifupi tutaishi na Jamii hii hii tunayoitesa tukiwa na Vyeo.

Big up Prof. Jakaya Kikwete.

Unamsifia ikiwa ndie alietuletea huu Mkosi
 
Mmmmh
 
Una haraka sana ya kuandika, na pia unafanya conclusion vile uonavyo, na sivyo alivyomaanisha yeye.

Yeye kamwambia anangisye, wewe unahamishia kwa MTU mwingine.

Isitoshe JK hakuwa mkiti wa chama, alikuwa katibu.

Na pia hajasema "tengeneza madui zako mwenyewe", kasema usitengeneze maadui kabisa.
Wewe ndiyo hujasikia. Amesema 'Tengeneza Adui wako' lakini kwa Ushauri wangu 'Hakuna haya ya Kuyengeneza Maadui'.
 
Una haraka sana ya kuandika, na pia unafanya conclusion vile uonavyo, na sivyo alivyomaanisha yeye.

Yeye kamwambia anangisye, wewe unahamishia kwa MTU mwingine.

Isitoshe JK hakuwa mkiti wa chama, alikuwa katibu.

Na pia hajasema "tengeneza madui zako mwenyewe", kasema usitengeneze maadui kabisa.
Watu wa sympath hawana kurastration ooh frasgration ooh shittt fration ooo nooo frustration ndyo ivo eeeh
 
Back
Top Bottom