Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

JK alisha kuwa anamsema magufuli hata akiwa hai msijisahaulishe hata hilo neno kujimwambafy lilianzia kwake na magufuli akiwa hai na aliambiwa huyo huyo magufuli anasikia , kikwete sio mtu wa kumuogopa magufuli soma record vizuri.
 
JPM alikua anatisha,hacheki,ulishamuona kikwete anafanya interview hivi kipindi cha Magufuli?aliogopa sana
 
UBABE UBABE TU,NA KIBABE TONGE TUMESHALITOA MIKONONI MWA WAHUNI UCHWARA, KAENI KIMYA KUMBUKENI CCM HAIWEZI KUKOSEA TENA.PIA ELEWENI RAIS AJAE NI J MAKAMBA 2030-40.
Haipangwagwi hivo haya mambo,utashangaa Rais ajae anakuja mtu mpya kabisa ambae hayupo hata sana na mambo ya chama.

Ataibuka mwishoni mwishoni 2029 huko.Mungu ndio anaepanga haya mambo sio watu wala system.
 
Haipangwagwi hivo haya mambo,utashangaa Rais ajae anakuja mtu mpya kabisa ambae hayupo hata sana na mambo ya chama.

Ataibuka mwishoni mwishoni 2029 huko.Mungu ndio anaepanga haya mambo sio watu wala system.
Utiifu na rekodi safi ndani ya chama tabia mwenendo afya ya akili na kiongozi atatoka miongoni mwa makabila madogo ya pwani.
Afya ya akili na utimamu na uchamungu wa kweli,nakazia hapa.
 
Utiifu na rekodi safi ndani ya chama tabia mwenendo afya ya akili na kiongozi atatoka miongoni mwa makabila madogo ya pwani.
Afya ya akili na utimamu na uchamungu wa kweli,nakazia hapa.
Alivopenya Magufuli 2015,ndio atapenya ajae katika mysterious ways.

Mtagonganishwa vichwa hamtaelewa nini kinaendelea,mwanaume anapita
 
Hahahaaa mzee w msoga aka born in town hakutaka kukohoa walitaka kumyamazisha milele amina. Si unaona mambo shwariiii kabisa.
 
Duh !! Labda !! Lakini Nchi hii kwa kuchekeana haiwezi kwenda mbele watu ni wapiga dili za kufa mtu !! Hawana huruma na wengine !!
 
Jiwe aliwapa faraja na mkate? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜.

Ila inawezekana coz Wanufaika wa Utawala wake mlikuwepo na mlikula maisha kweli kweli Kwa pesa za Umma.
 
Reactions: Ame
JPM alikua anatisha,hacheki,ulishamuona kikwete anafanya interview hivi kipindi cha Magufuli?aliogopa sana
Wewe JK alifanya tena sio mara moja..

JK aliwahi wananga watu waliokuwa wanasema ooh ishu ya bandari Kikwete hachomoi,akawauliza nisichomoe kwani nilichomeka nini?

Hata kwenye msiba wa Mkapa JK alimchana live Jiwe,aogope nini hasa?
 
Unapata wapi ujasiri wa kumtetea jambazi kama huyu?

Marais karibu wote walikuwa na kashfa za wizi ila Mkapa na Mwendazake ndio wamekuwa na kashfa za wazi na Mwendazake Katia fora ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-125637.png
    151.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220719-125655.png
    43.6 KB · Views: 1

Attachments

  • Screenshot_20220719-125637.png
    151.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220719-125655.png
    43.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20220731-152447.png
    75.5 KB · Views: 1
Jiwe alikuwa msomi fake ndio maana hakuna chapisho lake lolote la PhD yake fake..

Aliwazawadia maprifesa wa Udsm vyeo baada ya kumpitisha..

Mtu hata English hajui eti alikuwa Mwalimu mwenye PhD ,stupid.
 
Ila aisee Mwendazake aliwaishwa mimi nilitamani angekufa let say mwaka ujao Ili haya Majanga ya Ukame,Ukraine na uviko 19 nione ambavyo angeyakabili mbele ya Ulimwengu maana alijifanya hataki chanjo so tungeona Zimbabwe nyingine ikizingatiwa alishaharibu uchumi..

Hii ingekuwa fundisho kubwa kwa Tanzania kwamba uongozi ni busara sio upumbavu..
Umueke Lisu utegeme kumtoa Magufuli? Magifuli alikua na nguvu ya umma.. Chadema ilishindwa uchaguzi kihalali ondoa fikra zako potofu.. Lisu isn't good enough to be a president.
 
Na sijui kwann hakutaka hata kuwa mtulivu kidogo kwa wapinzani..Yaani alikuwa anaogopa hata akina Mduda wavuta bange za Kishemundu kabisa..dah alizingua sana kwenye hili.

He was a best president in actions but very poor democratically.
Unfortunately tunatofautiana jijsi ya kumtathmni Jiwe..

Binafsi sina shida na kuwanyoosha wapinzani bali Nina shida na handling yake ya Uchumi na biashara..

Kama ni kuwanyoosha wapinzani Nchi karibu zote za Afrika zinawashughulikia na Uchumi unaenda vizuri..

Ila kipindi cha Jiwe sasa ndio kipindi Uchumi wa Nchi uliporomoka, wafanyabiashara waliacha kuwekeza pesa Kwa kuhofia kuporwa, investors walikimbia na sekta nyingi zilikufa kama real estates,ukandarasi, biashara,ajira hakuna,machinga kila sehemu nk..

Jiwe alibakia anategemea bandari ya Dar,mikopo na dhahabu huku akiwa na migogoro na Majirani,jumuiya ya Kimataifa na ndani..

Kwa mazingira haya Jiwe alikuwa ni one of the useless and failures president tuliyewahi kupata..

Vipaombele vyake ilikuwa ni mambo yasiyo zalisha na yasiyo na maana kwenye uchumi na yaliyolenga kupata pesa za upigaji..

Jiwe Kwa kutambua kwamba amefirisika alilazimu aanze mchakato wa kubadili Katiba kwa visingizio vya miradi kuachwa yeye akifa kumbe ni excuse ya failures..

Yaani Jiwe angeendelea kuwa Rais na alivyokuwa na kiburi Leo hii Tanzania ingeshasambaratika kiuchumi kama Zambabwe na lawama kama kawaida zingeenda kwa wapinzani na mabeberu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜..

Kifo cha Jiwe kilikuwa ni kuliokoa Taifa vinginevyo Tungesaga meno na gungekimbia Nchi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ