Ni kweli wapinzani wao wenyewe walimtibua jiwe kwa midomo yao michafu, wakasema ana phd fake,,
Pamoja na jamaa kutaka kuwafurahisha mara tu alupokamata madaraka, akamwachia babu seya ambaye wapinzani walikua wakisema alifungwa kwa hila na mzee wa msoga, wakati ukweli ni kuwa Babu seya na watoto wake walibaka watoto awamu ya mzee lupaso,,
Alipoingia tu madaraka alitimiza kilio cha wapinzani, kununua ndege, tena kwa cash,, wapinzani wakamgeuka tena na kumtukana ni vipi ananunua ndege wakati si jambo la maana😁😁,
Wapinzani walikua wakisema Rugemalila na singer wa PAP ni mafisadi, wamegawana pesa kwenye sandalusi,, ili kuwafurahisha jiwe akawaweka ndani, wakati kesi yenyewe haikuwepo ya kujibu, maana tuhuma zilikua ni political motivated😆
Jamaa alifanya kila kitu ili tu wapinzani wamkubali,, na hilo ndo lilimtibua hasa akaanza kuwa displine