Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

JK ni mtu wa fix sana! JPM ni kweli alitaka mabadiliko ya Katiba ya kum'beba, lakini alijificha nyuma ya waimba mapambio, akiwemo mzee Ruksa. Angejitokeza wazi, hakuna Mzee ambaye angethubutu kuzuia matakwa ya JPM. Kwa sasa kaona jamaa alishajifia, ndiyo ANAJIMWAMBAFAI!
Mambo mengi alikuwa anaona wazi yakiharibika, lakini alikuwa HATHUBUTU hata KUKOHOA!
JK alisha kuwa anamsema magufuli hata akiwa hai msijisahaulishe hata hilo neno kujimwambafy lilianzia kwake na magufuli akiwa hai na aliambiwa huyo huyo magufuli anasikia , kikwete sio mtu wa kumuogopa magufuli soma record vizuri.
 
JK ni mtu wa fix sana! JPM ni kweli alitaka mabadiliko ya Katiba ya kum'beba, lakini alijificha nyuma ya waimba mapambio, akiwemo mzee Ruksa. Angejitokeza wazi, hakuna Mzee ambaye angethubutu kuzuia matakwa ya JPM. Kwa sasa kaona jamaa alishajifia, ndiyo ANAJIMWAMBAFAI!
Mambo mengi alikuwa anaona wazi yakiharibika, lakini alikuwa HATHUBUTU hata KUKOHOA!
JPM alikua anatisha,hacheki,ulishamuona kikwete anafanya interview hivi kipindi cha Magufuli?aliogopa sana
 
UBABE UBABE TU,NA KIBABE TONGE TUMESHALITOA MIKONONI MWA WAHUNI UCHWARA, KAENI KIMYA KUMBUKENI CCM HAIWEZI KUKOSEA TENA.PIA ELEWENI RAIS AJAE NI J MAKAMBA 2030-40.
Haipangwagwi hivo haya mambo,utashangaa Rais ajae anakuja mtu mpya kabisa ambae hayupo hata sana na mambo ya chama.

Ataibuka mwishoni mwishoni 2029 huko.Mungu ndio anaepanga haya mambo sio watu wala system.
 
Haipangwagwi hivo haya mambo,utashangaa Rais ajae anakuja mtu mpya kabisa ambae hayupo hata sana na mambo ya chama.

Ataibuka mwishoni mwishoni 2029 huko.Mungu ndio anaepanga haya mambo sio watu wala system.
Utiifu na rekodi safi ndani ya chama tabia mwenendo afya ya akili na kiongozi atatoka miongoni mwa makabila madogo ya pwani.
Afya ya akili na utimamu na uchamungu wa kweli,nakazia hapa.
 
Utiifu na rekodi safi ndani ya chama tabia mwenendo afya ya akili na kiongozi atatoka miongoni mwa makabila madogo ya pwani.
Afya ya akili na utimamu na uchamungu wa kweli,nakazia hapa.
Alivopenya Magufuli 2015,ndio atapenya ajae katika mysterious ways.

Mtagonganishwa vichwa hamtaelewa nini kinaendelea,mwanaume anapita
 
JK ni mtu wa fix sana! JPM ni kweli alitaka mabadiliko ya Katiba ya kum'beba, lakini alijificha nyuma ya waimba mapambio, akiwemo mzee Ruksa. Angejitokeza wazi, hakuna Mzee ambaye angethubutu kuzuia matakwa ya JPM. Kwa sasa kaona jamaa alishajifia, ndiyo ANAJIMWAMBAFAI!
Mambo mengi alikuwa anaona wazi yakiharibika, lakini alikuwa HATHUBUTU hata KUKOHOA!
Hahahaaa mzee w msoga aka born in town hakutaka kukohoa walitaka kumyamazisha milele amina. Si unaona mambo shwariiii kabisa.
 
Msimpambe semeji alitaka aongoze nchi kwa mkono wa chuma , kama alikuwa muungwan kwanini alikasirika alipo ambiwa 1.5Tr haijulikani ilipo akaona suluhu ni kumuondoa CAG, magufuli hakuwa msafi wa matendo nu muongo sana wenye akili tuu ndio walio tambua uongo wake wa mdomoni , alikuwa na maneno matamu sana lakini ni ibilisi mkubwa
Duh !! Labda !! Lakini Nchi hii kwa kuchekeana haiwezi kwenda mbele watu ni wapiga dili za kufa mtu !! Hawana huruma na wengine !!
 
Ni bora uhadaa wake ambao ulitupa faraja na mkate wa siku at household level kuliko usanii wenu ambao midomoni mnacheka lakini moyoni mmejaa dhuluma na kujipa kila aina ya haki kupitia public funds; kharma will teach you and you will surely never experience peace in this life and to the next if there is next life...Kizazi chenu kimelaaniwa kuliko laana yenyewe kwakuhujumu haki za watu wasioweza kujitetea
Jiwe aliwapa faraja na mkate? 😁😁😁😁.

Ila inawezekana coz Wanufaika wa Utawala wake mlikuwepo na mlikula maisha kweli kweli Kwa pesa za Umma.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
JPM alikua anatisha,hacheki,ulishamuona kikwete anafanya interview hivi kipindi cha Magufuli?aliogopa sana
Wewe JK alifanya tena sio mara moja..

JK aliwahi wananga watu waliokuwa wanasema ooh ishu ya bandari Kikwete hachomoi,akawauliza nisichomoe kwani nilichomeka nini?

Hata kwenye msiba wa Mkapa JK alimchana live Jiwe,aogope nini hasa?
 
Mauaji yapo tuu kila mwanasiasa ni killer tuu hata uyo chadem president hadi msoga na kina konde na mwalimu wote their killer kwaiyo usipondee mmoja alafu ukawapa utukufu wengine, tofauti yao ni moja wapo wanaoua kimya yani anaua kwa akili na hutokaa umwone kama anahusika ndo wakina msoga hao na mwalimu,

kilichomponza mwendazake alikua anajaa kwenye kuminanane za maadui zake sababu ya hasira maana ndo ulikua udhaifu wake so aliyo yafanya na asiyo yafanya yanajumlishwa sababu ndo ulikua udhaifu wake, swala la viongozi kubeba ela za watu na mali lipo tokea miaka kama ilivyokua kwa mwalimu na waziri wake miaka ile ndo wakapotisha kibabe sheria ya uhujum uchumi,! So hakuna alie msafi Mwendazake ye alipendelea watu wachini na wengine walipendelea kile walichokiamini na saiv kama uyu anamiini katika wawekezaji zaidi and etc sio dhambi so ye alishakufa sijui shida ni nini kugombana na maiti wakati kuna uongozi mwingine!!!
Unapata wapi ujasiri wa kumtetea jambazi kama huyu?

Marais karibu wote walikuwa na kashfa za wizi ila Mkapa na Mwendazake ndio wamekuwa na kashfa za wazi na Mwendazake Katia fora 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-125637.png
    Screenshot_20220719-125637.png
    151.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220719-125655.png
    Screenshot_20220719-125655.png
    43.6 KB · Views: 1

Attachments

  • Screenshot_20220719-125637.png
    Screenshot_20220719-125637.png
    151.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220719-125655.png
    Screenshot_20220719-125655.png
    43.6 KB · Views: 1
  • Screenshot_20220731-152447.png
    Screenshot_20220731-152447.png
    75.5 KB · Views: 1
Ni kweli wapinzani wao wenyewe walimtibua jiwe kwa midomo yao michafu, wakasema ana phd fake,,
Pamoja na jamaa kutaka kuwafurahisha mara tu alupokamata madaraka, akamwachia babu seya ambaye wapinzani walikua wakisema alifungwa kwa hila na mzee wa msoga, wakati ukweli ni kuwa Babu seya na watoto wake walibaka watoto awamu ya mzee lupaso,,
Alipoingia tu madaraka alitimiza kilio cha wapinzani, kununua ndege, tena kwa cash,, wapinzani wakamgeuka tena na kumtukana ni vipi ananunua ndege wakati si jambo la maana😁😁,
Wapinzani walikua wakisema Rugemalila na singer wa PAP ni mafisadi, wamegawana pesa kwenye sandalusi,, ili kuwafurahisha jiwe akawaweka ndani, wakati kesi yenyewe haikuwepo ya kujibu, maana tuhuma zilikua ni political motivated😆
Jamaa alifanya kila kitu ili tu wapinzani wamkubali,, na hilo ndo lilimtibua hasa akaanza kuwa displine
Jiwe alikuwa msomi fake ndio maana hakuna chapisho lake lolote la PhD yake fake..

Aliwazawadia maprifesa wa Udsm vyeo baada ya kumpitisha..

Mtu hata English hajui eti alikuwa Mwalimu mwenye PhD ,stupid.
 
Ila aisee Mwendazake aliwaishwa mimi nilitamani angekufa let say mwaka ujao Ili haya Majanga ya Ukame,Ukraine na uviko 19 nione ambavyo angeyakabili mbele ya Ulimwengu maana alijifanya hataki chanjo so tungeona Zimbabwe nyingine ikizingatiwa alishaharibu uchumi..

Hii ingekuwa fundisho kubwa kwa Tanzania kwamba uongozi ni busara sio upumbavu..
Umueke Lisu utegeme kumtoa Magufuli? Magifuli alikua na nguvu ya umma.. Chadema ilishindwa uchaguzi kihalali ondoa fikra zako potofu.. Lisu isn't good enough to be a president.
 
Na sijui kwann hakutaka hata kuwa mtulivu kidogo kwa wapinzani..Yaani alikuwa anaogopa hata akina Mduda wavuta bange za Kishemundu kabisa..dah alizingua sana kwenye hili.

He was a best president in actions but very poor democratically.
Unfortunately tunatofautiana jijsi ya kumtathmni Jiwe..

Binafsi sina shida na kuwanyoosha wapinzani bali Nina shida na handling yake ya Uchumi na biashara..

Kama ni kuwanyoosha wapinzani Nchi karibu zote za Afrika zinawashughulikia na Uchumi unaenda vizuri..

Ila kipindi cha Jiwe sasa ndio kipindi Uchumi wa Nchi uliporomoka, wafanyabiashara waliacha kuwekeza pesa Kwa kuhofia kuporwa, investors walikimbia na sekta nyingi zilikufa kama real estates,ukandarasi, biashara,ajira hakuna,machinga kila sehemu nk..

Jiwe alibakia anategemea bandari ya Dar,mikopo na dhahabu huku akiwa na migogoro na Majirani,jumuiya ya Kimataifa na ndani..

Kwa mazingira haya Jiwe alikuwa ni one of the useless and failures president tuliyewahi kupata..

Vipaombele vyake ilikuwa ni mambo yasiyo zalisha na yasiyo na maana kwenye uchumi na yaliyolenga kupata pesa za upigaji..

Jiwe Kwa kutambua kwamba amefirisika alilazimu aanze mchakato wa kubadili Katiba kwa visingizio vya miradi kuachwa yeye akifa kumbe ni excuse ya failures..

Yaani Jiwe angeendelea kuwa Rais na alivyokuwa na kiburi Leo hii Tanzania ingeshasambaratika kiuchumi kama Zambabwe na lawama kama kawaida zingeenda kwa wapinzani na mabeberu 😁😁..

Kifo cha Jiwe kilikuwa ni kuliokoa Taifa vinginevyo Tungesaga meno na gungekimbia Nchi..
 
Back
Top Bottom