Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

Akiwa kwenye mahojiano na kipindi maalum cha Clouds leo aliyekuwa Rais wa awamu ya Nne Jakaya Kikwete amesema kuwa mchakato uliokuwa mgumu zaidi kwake ni kuzuia uhuni wa kubadili muhula wa uongozi ndani ya CCM kutoka miaka mitano kuwa saba.

Jakaya anasema mjadala ulipoletwa ulikuwa ni moto ila tayarI CCM kulikuwa na utaratibu wa miaka mitano na uamuzi huo uheshimiwe.

======

KUONGEZA MIAKA YA URAIS
Kikwete:
Kuna kipindi walianza sana mjadala wa kubadili katiba sijui iwe miaka 7, pale wazee tulishauriana tukasema hapana, huku wanapotaka kutupeleka hawa sipo.

Nchi yetu ina viwango, hapa ilipofikia heshma yake kubwa ni kuheshimu vipindi viwili vya miaka mitano, wakianza hawa na miaka 7 huko tunakokwenda siko.

Nakumbuka tulikutana wazee na siku hizi hamna haja kukutana hata kwa simu mnaunganisha, tukakubaliana hawa lazima tuwaambie vijana hawa.

Hao wazee wangekuwa wanakataa na ufisadi tungekuwa mbali...
 
Huyu nae muhuni tu kama wahuni wengine...rasimu aliipiga teke imetufikisha wapi? Kuwa madarakani hata miaka mia sio hoja, hoja ni nini umetufanyia...full stop. Kagame mwaka wa ngapi leo? Mbowe, Museven? Bibi yenu alikaa 70years so hoja sio kukaa madarakani hoja ni maendeleo ya watu na vitu kwa ujumla wake umesimamiaje? Njia za kukuza uchumi unazopita ni zipi?, sera za kuchochea maendeleo zinapishwaje na kusimamiwaje? Ukiwa mbovu kama bi tozo na JKY hata mwaka mmoja tu hutufahi.
 
Kwa tamko hili ni bayana sasa ni kweli ana mkono kwenye serikali hii na kwamba walimzima mwamba kwa kujifanya wao ni wamiliki nchi..............................days are chronologically numbered when time materializes, he will denounce his statement
 
Kumbe alikuwa serious halafu akijifanya hataki.
 
Kwa tamko hili ni bayana sasa ni kweli ana mkono kwenye serikali hii na kwamba walimzima mwamba kwa kujifanya wao ni wamiliki nchi..............................days are chronologically numbered when time materializes, he will denounce his statement
Si walilinda katiba mkuu?
 
Bora kakufa zake. Lingetuletea machafuko bureeee.
Machufuko yanini? Mkuu ili swala hayati Magufuli alilishakijibia kuwa hatoongeza ata dakika 1! Kwani ata humfatilii Jakaya? Hujagundua tu kuwa Jakaya alikuwa na Kinyongo na Magufuli? Kumbuka issue ya Kikombe cha Babu wa Loliondo alivyoizungumziia Jakaya hapa majuzi majuzi
 
Si walilinda katiba mkuu?
Katiba gani, mbona kila baada ya miaka kumi rais akiwa ametoka bara zamu inayofuata ni visiwani wakati haimo kwenye katiba? Mbona rais akiwa mkristo akimaliza muda wake anayefuata anauwa na jina la kiislamu?

Hakuna katiba yoyote waliyolinda sababu ni kwamba miaka ingekuwa mingi sana ya wao kutopata fursa ya kutafuna rasilimali za nchi bila kuhojiwa na mtu mwenye ujasiri
 
Huyu nae muhuni tu kama wahuni wengine...rasimu aliipiga teke imetufikisha wapi? Kuwa madarakani hata miaka mia sio hoja, hoja ni nini umetufanyia...full stop. Kagame mwaka wa ngapi leo? Mbowe, Museven? Bibi yenu alikaa 70years so hoja sio kukaa madarakani hoja ni maendeleo ya watu na vitu kwa ujumla wake umesimamiaje? Njia za kukuza uchumi unazopita ni zipi?, sera za kuchochea maendeleo zinapishwaje na kusimamiwaje? Ukiwa mbovu kama bi tozo na JKY hata mwaka mmoja tu hutufahi.
Hauna akili na naona uvivu kukujibu.
 
Si kweli Butiama wakati anakabidhiwa jumba lake alilojengewa alitoa speech kwani yeye TEMBO mpaka apewe jumba kubwa? Alikuwa fiti kinoma na kwa afya yake alitoa ahadi ya kuishi hadi miaka 100....(siwaahidi kuishi miaka 100 kama alivyowaahidi hayati nyerere kwa ili sipingiki mmevamia meli kumbe meli ya wagiriki hamponi hamsilimiki-Pina)
Wajue wanasiasa na kauli zao..saratani ya damu si Jambo la siku moja
 
Swali zuri.
Ni kweli kwa sasa kunaoneka hakuna chama kutokana na siasa chafu na za kimkakati za ccm kuvidumaza vyama vingine ili vionekane havina maana.

Wananchi wakishajitambua mengine yatafuata.
Chama ni watu sio jina na bendera.
Kwa hiyo tuitoe ccm au tusubiri wananchi wajitambue!?
 
Back
Top Bottom