Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Hayo "maamuzi mazito inapobidi" ni kama kuondoa watu tishio kwa katiba yetu sio?Kwa tangazo lipi?
Sasa wewe ulikuwa huelewi kama Kikwete yupo kwenye jopo la wazee wanaofanya maamuzi mazito ya CCM, inapobidi?
Wengine huwa mnaandika utumbo tu.