Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

Kwa tangazo lipi?

Sasa wewe ulikuwa huelewi kama Kikwete yupo kwenye jopo la wazee wanaofanya maamuzi mazito ya CCM, inapobidi?

Wengine huwa mnaandika utumbo tu.
Hayo "maamuzi mazito inapobidi" ni kama kuondoa watu tishio kwa katiba yetu sio?
 
Hii tetesi nilisikia pia kwamba jiwe liliazimia kuwaondoa wastaafu wote kwanza na ndipo jambo lake likae sawa hakuwa na shida na mzee ruksa na karata ilianzia lupaso ikachezwa kwa ustadi kweli, kwakweli tetesi zinasema lile tukio lilimtahayarisha sana mzee wa msoga na alishtushwa sana na jambo lile na tatizo mzee wa lupaso hakuwa na ujasusi kivilee sasa mzee wa msoga nae akaanza kuliwa mingo ila kwa vile naye ni jasusi tena jasusi kweli kweli tena jasusi lililo kulia mjini hata Mwl.Nyerere alimfahamu hivyo,hahaaaaa jiwe lika dondoshwa mapema kabla.
THE TEMINATOR!😁😁😁😁
TIMING OVER TIIMING...!HA HA HA ...!
 
Ana akili zipi huyo msoga band zaidi ya kukwapua mali zetu watanzania?

Huyo ni kibaka wa kawaida tu, hana akili yoyote.
Wewe na huyo Magufuli wako siasa mmezianza juzi tu hamjui lolote kuhusu system ndio maana huwezi jua chochote kuhusu Kikwete ndio maana mlikuja kichwa kichwa mkadhani mtakuwa juu ya kila kitu.

Lakini amini Kikwete ndiye alikuwa Rais mwenye nguvu nchi hii na ni Rais mstaafu mwenye nguvu nchi hiií kuliko marais wote walio tangulia ukimtoa Mwl. Nyerere.

Na hata nyerere alilijua hilo fuatilia kwa kukusaidia speech ya Kikwete mwaka 1995 kama ulikuwa umezaliwa siku ya halmashauri kuu ya CCM inapigia kura jina la mgombea urais na Kikwete akishika nafasi ya pili kwa tofauti ya kura 50 tu tena za mchongo dhidi ya Benjamin Mkapa.

Hapo ndipo utajua Kikwete sio wa kispoti spoti kama unavyo mchukulia, ni mwana diplomasia tangu akiwa kijana alishakomaa kisiasa kabla hata hilo jiwe halijawaza kuwa mwanasiasa nadhani kipindi hicho jiwe ndo anafundisha Sengerema huko 😆😆
 
Ana ujasusi gani huyo fisadi wa msoga?

Mnampa ushujaa feki ambao hana japo kiduchu.

Kikwete ni mwizi wa kawaida sana na hana uwezo wa kupambana na Rais wa nchi aliyeshika mamlaka, achilia mbali hata kujaribu tu kumrushia unyoya wa kuku.

Magufuli aliuwawa na watu wenye nguvu, na sio huyo mkwapuzi wa msoga JK.
Watu gani hao mkuu? Akina Makamba?
 
Ana ujasusi gani huyo fisadi wa msoga?

Mnampa ushujaa feki ambao hana japo kiduchu.

Kikwete ni mwizi wa kawaida sana na hana uwezo wa kupambana na Rais wa nchi aliyeshika mamlaka, achilia mbali hata kujaribu tu kumrushia unyoya wa kuku.

Magufuli aliuwawa na watu wenye nguvu, na sio huyo mkwapuzi wa msoga JK.
Unaposema aliuwawa unasikitisha sana, sawasawa na dhana ya Mkapa aliuwawa. Kwa uroho wa shetani wa madaraka.
 
THE TEMINATOR!😁😁😁😁
TIMING OVER TIIMING...!HA HA HA ...!
Supika mgogo alipewa jukumu na alihakikishiwa ulinzi na usalama wake na kwa kuanza ilipitishwa sheria ya kumpa ulinzi wa kisheria kwanza kuto shtakiwa wabunge wengine hawakujua lolote waipelekeshwa tu kama mang'ombe na kwa vile ni wazee wa NDIOOOOOO hawakujua kama ule ni mkakati maalumu.

Mpango pale alikuwa ni supika lakini ili ionekane kwamba muhimili mwingine haujatengwa wakaona ngoja tumuweke na pilato mkuu kupunguza kelele.

Supika mgogo alisha panga timu yake vizuri sana ya kuichokonoa ajenda ya ukomo wa urais na alimuhakikishia jiwe kwamba hilo kwenye bunge lake litapita bila shida ila wataanza kwanza kuwatuliza wabunge kiherehere ndani ya chama lakini pia kuhakikisha kelele za upinzani bungeni zinapunguzwa sana mikakati ilikuwa inaenda kwa ufundi sana tena mikakati ya muda mrefu.

Kitendo cha wabunge wa upinzani kunyang'anywa majimbo hakikuwa cha bahati mbaya, ndio mchakato ulikuwa unasukwa mshauri mkuu akiwa rais wa nchi jirani. 😆😆😆
 
Hii tetesi nilisikia pia kwamba jiwe liliazimia kuwaondoa wastaafu wote kwanza na ndipo jambo lake likae sawa hakuwa na shida na mzee ruksa na karata ilianzia lupaso ikachezwa kwa ustadi kweli, kwakweli tetesi zinasema lile tukio lilimtahayarisha sana mzee wa msoga na alishtushwa sana na jambo lile na tatizo mzee wa lupaso hakuwa na ujasusi kivilee sasa mzee wa msoga nae akaanza kuliwa mingo ila kwa vile naye ni jasusi tena jasusi kweli kweli tena jasusi lililo kulia mjini hata Mwl.Nyerere alimfahamu hivyo,hahaaaaa jiwe lika dondoshwa mapema kabla.
Nakumbuka JK alijitokeza hadharani na kusema. "Mkapa nilimtembelea jana na hali yake haikuwa mbaya zaidi ya kujisikia maumivu sehemu za tumbo sasa leo nasikia amefariki nimeshangaa kwelikweli" hapo hata yeye alipigwa butwaa labda kweli kuna mchezo ulifanyika
 
Supika mgogo alipewa jukumu na alihakikishiwa ulinzi na usalama wake na kwa kuanza ilipitishwa sheria ya kumpa ulinzi wa kisheria kwanza kuto shtakiwa wabunge wengine hawakujua lolote waipelekeshwa tu kama mang'ombe na kwa vile ni wazee wa NDIOOOOOO hawakujua kama ule ni mkakati maalumu.

Mpango pale alikuwa ni supika lakini ili ionekane kwamba muhimili mwingine haujatengwa wakaona ngoja tumuweke na pilato mkuu kupunguza kelele.

Supika mgogo alisha panga timu yake vizuri sana ya kuichokonoa ajenda ya ukomo wa urais na alimuhakikishia jiwe kwamba hilo kwenye bunge lake litapita bila shida ila wataanza kwanza kuwatuliza wabunge kiherehere ndani ya chama lakini pia kuhakikisha kelele za upinzani bungeni zinapunguzwa sana mikakati ilikuwa inaenda kwa ufundi sana tena mikakati ya muda mrefu.

Kitendo cha wabunge wa upinzani kunyang'anywa majimbo hakikuwa cha bahati mbaya, ndio mchakato ulikuwa unasukwa mshauri mkuu akiwa rais wa nchi jirani. 😆😆😆
Yupi mwanawane, ohh itakuwa itakuwa bwana Y. Huyu, maana Bwana P walikwisha pishana, lete mambo Bana. Ehee.......
 
Nakumbuka jk alijitokeza hadharani na kusema. "Mkapa nilimtembelea jana na hali yake haikuwa mbaya zaidi ya kujisikia maumivu sehemu za tumbo sasa leo nasikia amefariki nimeshangaa kwelikweli" hapo hata yeye alipigwa butwaa labda kweli kuna mchezo ulifamyika
Kikosi cha jiwe bwana kilikuwa kina fanya mambo kienyeji sana na ndio maana walikuwa wanaacha alama kwenye matukio yao.

Kufanya ule umafia kwa mzee wa lupaso siku moja baada ya mzee wa msoga kumtembelea mzee wa lupaso haikuwa bahati mbaya pia ndio maana kuna uvumi ukaanza kusambazwa na timu jiwe mitandaoni huku eti kwanini mzee wa lupaso afe baada ya kutembelewa na mzee wa msoga yaani jiwe bana timu yake ilikuwa na plan za kishamba sana ndio maana walifeli vibaya sana hata kwa TL.

Ila MAKONDA mungu amsamehe tu 😭😭
 
Nakumbuka jk alijitokeza hadharani na kusema. "Mkapa nilimtembelea jana na hali yake haikuwa mbaya zaidi ya kujisikia maumivu sehemu za tumbo sasa leo nasikia amefariki nimeshangaa kwelikweli" hapo hata yeye alipigwa butwaa labda kweli kuna mchezo ulifamyika
#Kama ni tumbo #alinyweshwa...!
 
Waliokosea ni upinzani, kama wangeamua kuungana naye naamini kubadilisha katiba ingekuwa kazi rahisi sana. Sasa kutokana na pinga Pinga zao Mambo yakawa kama yalivyokuwa.
Inawezekana pia,maana walimkataa since day one na jamaa alikuwa na ego
 
Huna akili
Huyu nae muhuni tu kama wahuni wengine...rasimu aliipiga teke imetufikisha wapi? Kuwa madarakani hata miaka mia sio hoja, hoja ni nini umetufanyia...full stop. Kagame mwaka wa ngapi leo? Mbowe, Museven? Bibi yenu alikaa 70years so hoja sio kukaa madarakani hoja ni maendeleo ya watu na vitu kwa ujumla wake umesimamiaje? Njia za kukuza uchumi unazopita ni zipi?, sera za kuchochea maendeleo zinapishwaje na kusimamiwaje? Ukiwa mbovu kama bi tozo na JKY hata mwaka mmoja tu hutufahi.
 
Back
Top Bottom