Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

Akiwa kwenye mahojiano na kipindi maalum cha Clouds leo aliyekuwa Rais wa awamu ya Nne Jakaya Kikwete amesema kuwa mchakato uliokuwa mgumu zaidi kwake ni kuzuia uhuni wa kubadili muhula wa uongozi ndani ya CCM kutoka miaka mitano kuwa saba.

Jakaya anasema mjadala ulipoletwa ulikuwa ni moto ila tayarI CCM kulikuwa na utaratibu wa miaka mitano na uamuzi huo uheshimiwe.

======

KUONGEZA MIAKA YA URAIS
Kikwete:
Kuna kipindi walianza sana mjadala wa kubadili katiba sijui iwe miaka 7, pale wazee tulishauriana tukasema hapana, huku wanapotaka kutupeleka hawa sipo.

Nchi yetu ina viwango, hapa ilipofikia heshma yake kubwa ni kuheshimu vipindi viwili vya miaka mitano, wakianza hawa na miaka 7 huko tunakokwenda siko.

Nakumbuka tulikutana wazee na siku hizi hamna haja kukutana hata kwa simu mnaunganisha, tukakubaliana hawa lazima tuwaambie vijana hawa.

Mtangazaji: Watanzania wangetamani kusikia kutoka kwenye kinywa chako, nini ambacho kilitokea mwaka 2015? Matarajio ya wengi yalikuwa Benard Membe na Edward Lowassa, mmoja rafiki yako, mmoja ndugu yako ukiwaandaa wote kuwa marais lakini matokeo yakaja tofauti kabisa ambayo wengi hawakutarajia.

Tukawa na mjadala mkubwa sana kwanza kwenye kamati ya maadili, tunaangalia mambo mengi, afya

Kikwete: Ndio inavyokuwa, orodha ya watu watano niliidraw mimi, mimi ndio mwenyekiti, mkutano ni lazima uuongoze. Unasema mimi kwa maoni yangu watano hawa. Tunafika mahali tunakubaliana, lile libaraza la wazee halina kazi nyingine zaidi ya kipindi cha transition.
 
Hii tetesi nilisikia pia kwamba jiwe liliazimia kuwaondoa wastaafu wote kwanza na ndipo jambo lake likae sawa hakuwa na shida na mzee ruksa na karata ilianzia lupaso ikachezwa kwa ustadi kweli, kwakweli tetesi zinasema lile tukio lilimtahayarisha sana mzee wa msoga na alishtushwa sana na jambo lile na tatizo mzee wa lupaso hakuwa na ujasusi kivilee sasa mzee wa msoga nae akaanza kuliwa mingo ila kwa vile naye ni jasusi tena jasusi kweli kweli tena jasusi lililo kulia mjini hata Mwl.Nyerere alimfahamu hivyo,hahaaaaa jiwe lika dondoshwa mapema kabla.
Acha spinning....Hizo character assassinations ni kama kua tu...Umuuaji wewe kama hujashuhudia haya...Na kama ndiyo basi tuwatupu hatuna ulinzi kama nchi; mbona huwa tupo salama mida wote huo?
Mnajipinga wenyewe, kwenye kutaka madaraka mnataka katiba ibadilishwe, inapokuja kwenye maswala ya kumchafua JPM katiba mnaiona ni nzuri na mmeitumia ipasavyo kuhujumu maisha ya mtu...Kumbukeni mtalipa yote haya siku moja, kama si hapa basi nature na kharma itawapa haki yenu
 
"Ku bold" ndiyo mdudu gani? Sikuelewi.

Ulifikiri hayo "macho na nasikio" ni yenu tu? Watu wengine hamueleweki kabisa.
Huwezi kunielewa madam, just time will educate you, not me kwakua time is wiser and richer in experiences than I am; just maintain your cool!
 
Acha spinning....Hizo character assassinations ni kama kua tu...Umuuaji wewe kama hujashuhudia haya...Na kama ndiyo basi tuwatupu hatuna ulinzi kama nchi; mbona huwa tupo salama mida wote huo?
Mnajipinga wenyewe, kwenye kutaka madaraka mnataka katiba ibadilishwe, inapokuja kwenye maswala ya kumchafua JPM katiba mnaiona ni nzuri na mmeitumia ipasavyo kuhujumu maisha ya mtu...Kumbukeni mtalipa yote haya siku moja, kama si hapa basi nature na kharma itawapa haki yenu
Ninacho washangaa sana tena sana nyie wafuasi wa magufuli ni kuona magufuli kafa kwa kuonewa wakati yeye kaua watu wengi tu kwa kuwaonea na wengine kawakosa kosa kwa kudra za muumba, sasa sijui mnaona yeye kuua wengine ni sahihi lakini yeye kufa si sahihi!?

Acheni ubinafsi ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga neno lilisha jitosheleza hapo na hakuna wakujibu ay hata kulipa hata mmoja, maana hata yeye magufuli huko aliko analipa gharama kwa yale aliyo wafanyia watanzania wenzetu huku duniani na alistahili kifo kabisa yule ibilisi tena si yeye tu bali hata wafuasi wake ikibid maana ndio walimpa kiburi akajiona mungu

Wajinga kama nyie ndio alikuwa anaweza kuwanasa kwa maneno yake malaini na ya hadaa wakati ni ibilisi mkubwa aliye jivika ngozi ya kondoo hasa kupitia kujua kucheza na akili zenu.
 
Ninacho washangaa sana tena sana nyie wafuasi wa magufuli ni kuona magufuli kafa kwa kuonewa wakati yeye kaua watu wengi tu kwa kuwaonea na wengine kawakosa kosa kwa kudra za muumba, sasa sijui mnaona yeye kuua wengine ni sahihi lakini yeye kufa si sahihi!?

Acheni ubinafsi ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga neno lilisha jitosheleza hapo na hakuna wakujibu hata mmoja maana hata yeye magufuli huko aliko anajibu kwa yale aliyo wafanyia watanzania wenzetu huku duniani

Wajinga kama nyie ndio alikuwa anaweza kuwanasa kwa maneno yake malaini na ya hadaa wakati ni ibilisi mkubwa aliye jivika ngozi ya kondoo hasa kupitia kujua kucheza na akili zenu.

Ni bora uhadaa wake ambao ulitupa faraja na mkate wa siku at household level kuliko usanii wenu ambao midomoni mnacheka lakini moyoni mmejaa dhuluma na kujipa kila aina ya haki kupitia public funds; kharma will teach you and you will surely never experience peace in this life and to the next if there is next life...Kizazi chenu kimelaaniwa kuliko laana yenyewe kwakuhujumu haki za watu wasioweza kujitetea
 
Ni bora uhadaa wake ambao ulitupa faraja na mkate wa siku at household level kuliko usanii wenu ambao midomoni mnacheka lakini moyoni mmejaa dhuluma na kujipa kila aina ya haki kupitia public funds
Ndio ubinafsi huo nauongelea kwa hiyo unaona bora huyu afe au bora huyu anyang'anywe mali zake ili wewe kitumbo tele usiye changia chochote uishi kwa furaha si ndio!? Hujioni wa ajabu

Ndio maana ilifika mahali nchi ikamshinda akaamua kunyang'anya fedha za watu kwenye account zao maana anakumbatia na kuwafurahisha maskini wasio lipa kodi kwa vile wanamshangilia majukwaani kwa kuwanyanyasa matajiri wanao lipa kodi kwa kuwanyang'anya mali zao kwa nguvu na kuwapakazia kesi za hovyo ,

Huyo mshamba wenu asinge toboa hii miaka mitano iliyo baki ndio maana kafilisi mifuko yote ya fedha hadi wastaafu wanashindwa kulipwa kisa awafurahishe nyie wauza nyanya ambao hamna mchango mkubwa wa kuongeza pato la taifa na kuifanya serikali ijiendeshe, matokeo yake kwa aibu ya kukwama akawa anakopa kimya kimya halafu wajinga nyie anawadanganya eti ni fedha za ndani , SHWAIN yule ikiwezekana afufuke atandikwe bakora 78 kabla ya kufa tena.
 
Mungu alijua yote haya yaliyoujaza moyo wako ndiyo sababu aliruhusu apumzike kwa amani na kisha apewe heshima yake ya mwisho kama statesman; kumbuka hadi UN ilimpa heshima ya mwisho, what a privilege God gave him!...Wewe je jiulize kifo chako kitakuaje? Pengine hata sisimizi hatakukumbuka na kisha amekuacha uendelee kuumiza moyo wako kwa hii sumu uliyoibeba...Unahasara duniani na ahera kama ipo, what a lost life!
 
Majizi ya msoga yanatafuta namna ya kuhalalisha ukwapuzi wa maliasili za nchi kwa kumchafua JPM
JK ni mtu wa fix sana! JPM ni kweli alitaka mabadiliko ya Katiba ya kum'beba, lakini alijificha nyuma ya waimba mapambio, akiwemo mzee Ruksa. Angejitokeza wazi, hakuna Mzee ambaye angethubutu kuzuia matakwa ya JPM. Kwa sasa kaona jamaa alishajifia, ndiyo ANAJIMWAMBAFAI!
Mambo mengi alikuwa anaona wazi yakiharibika, lakini alikuwa HATHUBUTU hata KUKOHOA!
 
Ni kweli wapinzani wao wenyewe walimtibua jiwe kwa midomo yao michafu, wakasema ana phd fake,,
Pamoja na jamaa kutaka kuwafurahisha mara tu alupokamata madaraka, akamwachia babu seya ambaye wapinzani walikua wakisema alifungwa kwa hila na mzee wa msoga, wakati ukweli ni kuwa Babu seya na watoto wake walibaka watoto awamu ya mzee lupaso,,
Alipoingia tu madaraka alitimiza kilio cha wapinzani, kununua ndege, tena kwa cash,, wapinzani wakamgeuka tena na kumtukana ni vipi ananunua ndege wakati si jambo la maana😁😁,
Wapinzani walikua wakisema Rugemalila na singer wa PAP ni mafisadi, wamegawana pesa kwenye sandalusi,, ili kuwafurahisha jiwe akawaweka ndani, wakati kesi yenyewe haikuwepo ya kujibu, maana tuhuma zilikua ni political motivated😆
Jamaa alifanya kila kitu ili tu wapinzani wamkubali,, na hilo ndo lilimtibua hasa akaanza kuwa displine
Kabisa kabisa alikuwa anaihitsji sana sapoti ya nje ili awashughulikie wenzake wa ndani lakini akaikosa ndio maana likamjia wazo kuwa kumbe wote hawa ni walewale tu wapiga dili ndio maana akaamua sasa apigane peke yake liwalo na liwe !! Jeshi la mtu mmoja alishawadhibiti humo ndani wengine wakawa hawasikiki kabisa na wakaingiwa na hofu!! Lakini alipoikosa sapoti aliyokuwa akiihitaji sana huko nje ndio akapatwa na hofu na ndio maana akawa vile alivyokuwa mpaka akajaribu na kuwashawishi wengine kutoka upinzani wahamie kwake !!
 
Polokwane is tyiping😂😂😂 kama vile nakuona unavyoteseka na grudge iliyoujaza moyo wako kama sumu ya swira!
 
Mungu alijua yote haya yaliyoujaza moyo wako ndiyo sababu aliruhusu apumzike kwa amani na kisha apewe heshima yake ya mwisho kama statesman...Wewe je jiulize kifo chako kitakuaje? Pengine hata sisimizi hatakukumbuka na kisha amekuacha uendelee kuumiza moyo wako kwa hii sumu uliyoibeba...Unahasara duniani na ahera kama ipo, what a lost life!
Wewe usimshirikishe mungu kwenye dhambi ya uuaji na unyang'anyi aliyo kuwa anaifanya huyo unaye muona mungu wako ni kumkosea mungu
Kwanza mtambie B.M .Mkapa alikufaje? hembu msitukumbushe machungu ya huyo ibilisi aliye aminiwa akapewa nchi na baadae yeye na wafuasi wake wakataka kujimilikisha nchi akidhan ni mali yao.

Asante sana mungu kwa kuikomboa Tanzania kutoka kwenye makucha ya simba mla watu na mali zao.
 
JK ni mtu wa fix sana! JPM ni kweli alitaka mabadiliko ya Katiba ya kum'beba, lakini alijificha nyuma ya waimba mapambio, akiwemo mzee Ruksa. Angejitokeza wazi, hakuna Mzee ambaye angethubutu kuzuia matakwa ya JPM. Kwa sasa kaona jamaa alishajifia, ndiyo ANAJIMWAMBAFAI!
Mambo mengi alikuwa anaona wazi yakiharibika, lakini alikuwa HATHUBUTU hata KUKOHOA!
Fact
 
Wewe usimshirikishe mungu kwenye dhambi ya uuaji na unyang'anyi aliyo kuwa anaifanya huyo unaye muona mungu wako ni kumkosea mungu
Kwa mtambie B.M .Mkapa alikufaje? hembu msitukumbushe machungu ya huyo ibilisi aliye aminiwa akapewa nchi na baadae yeye na wafuasi wake wakataka kujimilikisha nchi akidhan ni mali yao.

Asante sana mungu kwa kuikomboa Tanzania kutoka kwenye makucha ya simba mla watu na mali zao.
Cheki ulivyo selfish! Unataka hata kujipa hati miliki ya Mungu ambaye ananipa oxygen safiii na amani ya roho...Duuh Mungu si Polokwane jua hilo...Acha nikuombee amani pengine utasaidika na kupunguza hiyo grudge ambayo usipoangalia utaishia kufa kama si cancer basi shinikizo la damu
 
Kabisa kabisa alikuwa anaihitsji sana sapoti ya nje ili awashughulikie wenzake wa ndani lakini akaikosa ndio maana likamjia wazo kuwa kumbe wote hawa ni walewale tu wapiga dili ndio maana akaamua sasa apigane peke yake liwalo na liwe !! Jeshi la mtu mmoja alishawadhibiti humo ndani wengine wakawa hawasikiki kabisa na wakaingiwa na hofu!! Lakini alipoikosa sapoti aliyokuwa akiihitaji sana huko nje ndio akapatwa na hofu na ndio maana akawa vile alivyokuwa mpaka akajaribu na kuwashawishi wengine kutoka upinzani wahamie kwake !!
Msimpambe semeji alitaka aongoze nchi kwa mkono wa chuma , kama alikuwa muungwan kwanini alikasirika alipo ambiwa 1.5Tr haijulikani ilipo akaona suluhu ni kumuondoa CAG, magufuli hakuwa msafi wa matendo nu muongo sana wenye akili tuu ndio walio tambua uongo wake wa mdomoni , alikuwa na maneno matamu sana lakini ni ibilisi mkubwa
 
Back
Top Bottom