FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Aulizwe nini zaidi?Aulizwe JK
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aulizwe nini zaidi?Aulizwe JK
Cha ajabu kilicho mstaajabishaAulizwe nini zaidi?
CHUKI ZAKO NA MATUSI YAKO YA HOVYO NI KAMA SODA BARIDI KWETU, J MAKAMBA NDIYE RAIS AJAYE.Kwahiyo mtamuweka shoga ikulu?
Mhhh!!
Mbona kakieleza wazi, hukielewi unachokisoma?Cha ajabu kilicho mstaajabisha
Kaswali fajr Adhana hizo tayari...😁😁😁 tukamtukuze mola wetu.Mbona kakieleza wazi, hukielewi unachokisoma?
In shaa Allah bado nusu saa uingie wakati wa Isha. Kila salat na wakati wake.Kaswali fajr Adhana hizo tayari...😁😁😁 tukamtukuze mola wetu.
Mtangazaji: Watanzania wangetamani kusikia kutoka kwenye kinywa chako, nini ambacho kilitokea mwaka 2015? Matarajio ya wengi yalikuwa Benard Membe na Edward Lowassa, mmoja rafiki yako, mmoja ndugu yako ukiwaandaa wote kuwa marais lakini matokeo yakaja tofauti kabisa ambayo wengi hawakutarajia.Akiwa kwenye mahojiano na kipindi maalum cha Clouds leo aliyekuwa Rais wa awamu ya Nne Jakaya Kikwete amesema kuwa mchakato uliokuwa mgumu zaidi kwake ni kuzuia uhuni wa kubadili muhula wa uongozi ndani ya CCM kutoka miaka mitano kuwa saba.
Jakaya anasema mjadala ulipoletwa ulikuwa ni moto ila tayarI CCM kulikuwa na utaratibu wa miaka mitano na uamuzi huo uheshimiwe.
======
KUONGEZA MIAKA YA URAIS
Kikwete: Kuna kipindi walianza sana mjadala wa kubadili katiba sijui iwe miaka 7, pale wazee tulishauriana tukasema hapana, huku wanapotaka kutupeleka hawa sipo.
Nchi yetu ina viwango, hapa ilipofikia heshma yake kubwa ni kuheshimu vipindi viwili vya miaka mitano, wakianza hawa na miaka 7 huko tunakokwenda siko.
Nakumbuka tulikutana wazee na siku hizi hamna haja kukutana hata kwa simu mnaunganisha, tukakubaliana hawa lazima tuwaambie vijana hawa.
Acha spinning....Hizo character assassinations ni kama kua tu...Umuuaji wewe kama hujashuhudia haya...Na kama ndiyo basi tuwatupu hatuna ulinzi kama nchi; mbona huwa tupo salama mida wote huo?Hii tetesi nilisikia pia kwamba jiwe liliazimia kuwaondoa wastaafu wote kwanza na ndipo jambo lake likae sawa hakuwa na shida na mzee ruksa na karata ilianzia lupaso ikachezwa kwa ustadi kweli, kwakweli tetesi zinasema lile tukio lilimtahayarisha sana mzee wa msoga na alishtushwa sana na jambo lile na tatizo mzee wa lupaso hakuwa na ujasusi kivilee sasa mzee wa msoga nae akaanza kuliwa mingo ila kwa vile naye ni jasusi tena jasusi kweli kweli tena jasusi lililo kulia mjini hata Mwl.Nyerere alimfahamu hivyo,hahaaaaa jiwe lika dondoshwa mapema kabla.
Huwezi kunielewa madam, just time will educate you, not me kwakua time is wiser and richer in experiences than I am; just maintain your cool!"Ku bold" ndiyo mdudu gani? Sikuelewi.
Ulifikiri hayo "macho na nasikio" ni yenu tu? Watu wengine hamueleweki kabisa.
Ninacho washangaa sana tena sana nyie wafuasi wa magufuli ni kuona magufuli kafa kwa kuonewa wakati yeye kaua watu wengi tu kwa kuwaonea na wengine kawakosa kosa kwa kudra za muumba, sasa sijui mnaona yeye kuua wengine ni sahihi lakini yeye kufa si sahihi!?Acha spinning....Hizo character assassinations ni kama kua tu...Umuuaji wewe kama hujashuhudia haya...Na kama ndiyo basi tuwatupu hatuna ulinzi kama nchi; mbona huwa tupo salama mida wote huo?
Mnajipinga wenyewe, kwenye kutaka madaraka mnataka katiba ibadilishwe, inapokuja kwenye maswala ya kumchafua JPM katiba mnaiona ni nzuri na mmeitumia ipasavyo kuhujumu maisha ya mtu...Kumbukeni mtalipa yote haya siku moja, kama si hapa basi nature na kharma itawapa haki yenu
Ninacho washangaa sana tena sana nyie wafuasi wa magufuli ni kuona magufuli kafa kwa kuonewa wakati yeye kaua watu wengi tu kwa kuwaonea na wengine kawakosa kosa kwa kudra za muumba, sasa sijui mnaona yeye kuua wengine ni sahihi lakini yeye kufa si sahihi!?
Acheni ubinafsi ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga neno lilisha jitosheleza hapo na hakuna wakujibu hata mmoja maana hata yeye magufuli huko aliko anajibu kwa yale aliyo wafanyia watanzania wenzetu huku duniani
Wajinga kama nyie ndio alikuwa anaweza kuwanasa kwa maneno yake malaini na ya hadaa wakati ni ibilisi mkubwa aliye jivika ngozi ya kondoo hasa kupitia kujua kucheza na akili zenu.
Ndio ubinafsi huo nauongelea kwa hiyo unaona bora huyu afe au bora huyu anyang'anywe mali zake ili wewe kitumbo tele usiye changia chochote uishi kwa furaha si ndio!? Hujioni wa ajabuNi bora uhadaa wake ambao ulitupa faraja na mkate wa siku at household level kuliko usanii wenu ambao midomoni mnacheka lakini moyoni mmejaa dhuluma na kujipa kila aina ya haki kupitia public funds
Mungu alijua yote haya yaliyoujaza moyo wako ndiyo sababu aliruhusu apumzike kwa amani na kisha apewe heshima yake ya mwisho kama statesman; kumbuka hadi UN ilimpa heshima ya mwisho, what a privilege God gave him!...Wewe je jiulize kifo chako kitakuaje? Pengine hata sisimizi hatakukumbuka na kisha amekuacha uendelee kuumiza moyo wako kwa hii sumu uliyoibeba...Unahasara duniani na ahera kama ipo, what a lost life!Ndio ubinafsi huo nauongelea kwa hiyo unaona bora huyu afe au bora huyu anyang'anywe mali zake ili wewe kitumbo tele usiye changia chochote uishi kwa furaha si ndio!? Hujioni wa ajabu
Ndio maana ilifika mahali nchi ikamshinda akaamua kunyang'anya fedha za watu kwenye account zao maana anakumbatia na kuwafurahisha maskini wasio lipa kodi kwa vile wanamshangilia majukwaani kwa kuwanyanyasa matajiri wanao lipa kodi kwa kuwanyang'anya mali zao kwa nguvu na kuwapakazia kesi za hovyo ,
Huyo mshamba wenu asinge toboa hii miaka mitano iliyo baki ndio maana kafilisi mifuko yote ya fedha hadi wastaafu wanashindwa kulipwa kisa awafurahishe nyie wauza nyanya ambao hamna mchango mkubwa wa kuongeza pato la taifa na kuifanya serikali ijiendeshe, matokeo yake kwa aibu ya kukwama akawa anakopa kimya kimya halafu wajinga nyie anawadanganya eti ni fedha za ndani , SHWAIN yule ikiwezekana afufuke atandikwe bakora 78 kabla ya kufa tena.
JK ni mtu wa fix sana! JPM ni kweli alitaka mabadiliko ya Katiba ya kum'beba, lakini alijificha nyuma ya waimba mapambio, akiwemo mzee Ruksa. Angejitokeza wazi, hakuna Mzee ambaye angethubutu kuzuia matakwa ya JPM. Kwa sasa kaona jamaa alishajifia, ndiyo ANAJIMWAMBAFAI!Majizi ya msoga yanatafuta namna ya kuhalalisha ukwapuzi wa maliasili za nchi kwa kumchafua JPM
Kabisa kabisa alikuwa anaihitsji sana sapoti ya nje ili awashughulikie wenzake wa ndani lakini akaikosa ndio maana likamjia wazo kuwa kumbe wote hawa ni walewale tu wapiga dili ndio maana akaamua sasa apigane peke yake liwalo na liwe !! Jeshi la mtu mmoja alishawadhibiti humo ndani wengine wakawa hawasikiki kabisa na wakaingiwa na hofu!! Lakini alipoikosa sapoti aliyokuwa akiihitaji sana huko nje ndio akapatwa na hofu na ndio maana akawa vile alivyokuwa mpaka akajaribu na kuwashawishi wengine kutoka upinzani wahamie kwake !!Ni kweli wapinzani wao wenyewe walimtibua jiwe kwa midomo yao michafu, wakasema ana phd fake,,
Pamoja na jamaa kutaka kuwafurahisha mara tu alupokamata madaraka, akamwachia babu seya ambaye wapinzani walikua wakisema alifungwa kwa hila na mzee wa msoga, wakati ukweli ni kuwa Babu seya na watoto wake walibaka watoto awamu ya mzee lupaso,,
Alipoingia tu madaraka alitimiza kilio cha wapinzani, kununua ndege, tena kwa cash,, wapinzani wakamgeuka tena na kumtukana ni vipi ananunua ndege wakati si jambo la maana😁😁,
Wapinzani walikua wakisema Rugemalila na singer wa PAP ni mafisadi, wamegawana pesa kwenye sandalusi,, ili kuwafurahisha jiwe akawaweka ndani, wakati kesi yenyewe haikuwepo ya kujibu, maana tuhuma zilikua ni political motivated😆
Jamaa alifanya kila kitu ili tu wapinzani wamkubali,, na hilo ndo lilimtibua hasa akaanza kuwa displine
Wewe usimshirikishe mungu kwenye dhambi ya uuaji na unyang'anyi aliyo kuwa anaifanya huyo unaye muona mungu wako ni kumkosea munguMungu alijua yote haya yaliyoujaza moyo wako ndiyo sababu aliruhusu apumzike kwa amani na kisha apewe heshima yake ya mwisho kama statesman...Wewe je jiulize kifo chako kitakuaje? Pengine hata sisimizi hatakukumbuka na kisha amekuacha uendelee kuumiza moyo wako kwa hii sumu uliyoibeba...Unahasara duniani na ahera kama ipo, what a lost life!
FactJK ni mtu wa fix sana! JPM ni kweli alitaka mabadiliko ya Katiba ya kum'beba, lakini alijificha nyuma ya waimba mapambio, akiwemo mzee Ruksa. Angejitokeza wazi, hakuna Mzee ambaye angethubutu kuzuia matakwa ya JPM. Kwa sasa kaona jamaa alishajifia, ndiyo ANAJIMWAMBAFAI!
Mambo mengi alikuwa anaona wazi yakiharibika, lakini alikuwa HATHUBUTU hata KUKOHOA!
Cheki ulivyo selfish! Unataka hata kujipa hati miliki ya Mungu ambaye ananipa oxygen safiii na amani ya roho...Duuh Mungu si Polokwane jua hilo...Acha nikuombee amani pengine utasaidika na kupunguza hiyo grudge ambayo usipoangalia utaishia kufa kama si cancer basi shinikizo la damuWewe usimshirikishe mungu kwenye dhambi ya uuaji na unyang'anyi aliyo kuwa anaifanya huyo unaye muona mungu wako ni kumkosea mungu
Kwa mtambie B.M .Mkapa alikufaje? hembu msitukumbushe machungu ya huyo ibilisi aliye aminiwa akapewa nchi na baadae yeye na wafuasi wake wakataka kujimilikisha nchi akidhan ni mali yao.
Asante sana mungu kwa kuikomboa Tanzania kutoka kwenye makucha ya simba mla watu na mali zao.
Msimpambe semeji alitaka aongoze nchi kwa mkono wa chuma , kama alikuwa muungwan kwanini alikasirika alipo ambiwa 1.5Tr haijulikani ilipo akaona suluhu ni kumuondoa CAG, magufuli hakuwa msafi wa matendo nu muongo sana wenye akili tuu ndio walio tambua uongo wake wa mdomoni , alikuwa na maneno matamu sana lakini ni ibilisi mkubwaKabisa kabisa alikuwa anaihitsji sana sapoti ya nje ili awashughulikie wenzake wa ndani lakini akaikosa ndio maana likamjia wazo kuwa kumbe wote hawa ni walewale tu wapiga dili ndio maana akaamua sasa apigane peke yake liwalo na liwe !! Jeshi la mtu mmoja alishawadhibiti humo ndani wengine wakawa hawasikiki kabisa na wakaingiwa na hofu!! Lakini alipoikosa sapoti aliyokuwa akiihitaji sana huko nje ndio akapatwa na hofu na ndio maana akawa vile alivyokuwa mpaka akajaribu na kuwashawishi wengine kutoka upinzani wahamie kwake !!