Jakaya Mrisho Kikwete ndiye aliyenishawishi kujiunga CCM mwaka 2005

Jakaya Mrisho Kikwete ndiye aliyenishawishi kujiunga CCM mwaka 2005

Mzee Kikwete nadhani umeona namba ya simu ya Lukas Mwashambwa , na kuna tetesi kwamba wewe ndio mpanga safu , hebu mkumbuke huyu kijana .
Yaani akumbukwe mtu asiyejua tofauti Kati ya pumba na utumbo aliotujazia hapa. Halafu na wewe unatuambia Kikwete ndiye mpanga safu, bure kabisa nyie.
 
Uzi ndio umeisha au utaendelea baadaye??
 
Hapana siyo kila mtu Ni chawa,pia kueleza na kuusema ukweli siyo uchawa
Kuna haja hani ya kutaja jina na namba ya simu unataka ujulikane kwa lengo lipi, tukisema ni uchawa, unajipendekeza wakukumbuke kwenye teuzi je?

Ungebaki mtu asiyejulikana ingependeza, tusingeludhania mabaya
 
Kuandika ukweli siyo kutafuta uteuzi,Mimi nimeandika namna mh kikwete alivyonishawishi kujiunga CCM chama kilicho na Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania
 
Kuandika ukweli siyo kutafuta uteuzi,Mimi nimeandika namna mh kikwete alivyonishawishi kujiunga CCM chama kilicho na Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania
Kulikuwa na haja gani, kutaja jina na kuweka namba ya simu?
 
Sishangai inawezekana upo sahihi kabisa maana kazi waliyoifanya lowasa na rostam aziz haikuwa ndogo.

Ila baada ya kubaki peke yake si unajua kilichotokea na hadi kufikia 2015 chama kikamfia mikononi na sare za chama zikawa hazivaliki tena.
 
Nipo CCM siyo kwa kulazimishwa Bali kwa upendo unaotokana na kuridhishwa na Sera na ajenda zake zinazomgusa mtanzania
Unamaanisha vijana wanaotembeza maji, pipi na lambalamba stendi na barabarani juani nao wameguswa na hizo sera ??
 
Back
Top Bottom