Jakaya Mrisho Kikwete ndiye aliyenishawishi kujiunga CCM mwaka 2005

Ndugu zangu,

Rais mstaafu mh Jakaya Kikwete Ndiye Aliyenishawishi Kujiunga na CCM Mwaka 2005 Nikiwa mkoani Rukwa wilaya ya sumbawanga mji mdogo wa laela Jimbo la kwela lililokuwa linaongozwa na Marehemu chrisant maji ya Tanga Mzindakaya. Nilikuwa huko kwa baba yangu mdogo ambako nilikuwa nasoma.

Kikwete alikuwa amekuja kuomba kura za Urais katika uchaguzi mkuu ulioacha historia ya kipekee kuwahi kutokea hapa nchini kwa mgombea wa CCm kupendwa na kukubalika na makundi yote na vyama vyote hadi vya upinzani.

Hakika kikwete alikubalika, alipendwa, alikuwa na mvuto wa kisiasa kuwahi kutokea hapa nchini. Kila mtu alitamani kumuona na kumsikiliza, kila mtu alitamani asiondoke na kufunga mkutano, kila mtu alitamani siku ya kupiga kura ifike haraka ili ampigie kura kikwete.

Watu waliona ni kama siku ya kupiga kura inachelelewa sana kufika maana kila mtu alitaka kuwa sehemu ya historia kumpigia kura Kikwete, hakika kampeni zake zilipendeza na kuvutia. Kila Kona na kila mahali ilikuwa ni CCM tu.

Picha zake zilipambwa na kupambika kila mahali, tisheti na vitenge vyenye picha yake vilivaliwa na kila mtu utafikiri sare ya taifa, hakika hata mimi niliitafuta tisheti ya CCM yenye picha yake kwa hali na mali.

Hatimaye Kikwete alikaribishwa jukwaani kutoka jukwaa kuu, lakini kitu alichokifanya Kikwete kilibaki ni historia na kuandika jina lake katika mioyo ya Wafipa na wana laela. Kiwete aliinua mkono wake juu na kufunua lile jukwaa dogo alipokuwa anatakiwa kusimama na kuhutubia kusudi na yeye awe juani maana jua lilikuwa limewaka.

Halafu akasalimia na kwa upole na tabasamu akasema, "NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI", uwanja mzima uliokuwa umefurika mpaka pa kupita sisimizi palikosekana ulilipuka kwa shangwe, nderemo, vifijo, makofi, kelele za kuimba Rais..Rais..Rais zikitawala uwanja wote wa shule ya msingi Laela. Jamani ilikuwa ni furaha kubwa sanaaa kwetu.

Kitendo Cha kutoa kitambaa kilichokuwa kimefunika jukwaa lake ili Naye akae juani Kama sisi kilitugusa na kugusa mioyo ya wote,watu wakasema hakika huyu Ni chaguo la Mungu,Hakika huyu atalia nasi katika shida na kufurahi nasi katika Raha,wakasema hakika huyu Ni Joshua anaye tupeleka Kanaan,wakasema hakika huyu atasimama nasi katika magumu,wakasema huyu Ni mwezetu alietoka na kukulia katika maisha yetu na anayejuwa maisha yetu na Hali zetu. Kila mtu aliongea mengi Sana ya kumpongeza mh kikwete.kama Ni point Basi alizoa point zote,Kama Ni Kura hakika alizoa Kura zoteee za Wana laela,

Kiukweli Ni kutokea hapo niliipenda Sana CCM,Nilitamani ningempigia Kura katika uchaguzi ule lakini nilikuwa sijafikia umri wa kupiga kura ,hivyo nikaishia kuwaambia watu wampigie kura Rais kikwete aliyeonyesha moyo wa upendo kwetu wananchi Hadi kuamua kukaa na kusimama nasi juani licha ya kuwekewa kimvuli,Nikutokea hapo nimekuwa mtafuta Kura za CCM popote pale,Ni kutokea hapo sijawahi kujuta kuwa mwana CCM,Wala sijawahi kuacha kuisemea CCM mahali nilipo,Ni kikwete Ndiye Aliyenishawishi kuipenda CCM maana niliona Ni chama kinachowajali wananchi na kuguswa na shida zao na kuwa na Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania.

Asante Sana mh kikwete kwa kunifanya kuipenda siasa na CCM kwa ujumla,Asante kwa kutujengea shule za kata ambazo Mimi Ni mnufaika nazo na nimefaidika na kupata Elimu kupitia juhudi zako ,Asante kwa kunipatia mkopo wa Elimu ya juu ulionisaidia kutimiza Ndoto zangu za kupata Elimu ya juu licha ya kuwa nimetoka familia masikini,Asante kwa kulitumikia Taifa letu kwa uzalendo mkubwa na kwa demokrasia ya Hali ya juu sana,.

Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Unahangaika sana, uchawa mwingi unadhani hiko chama hakina wenyewe?. Unadhani utaambulia ka Uteuzi kwa kuwa chawa na kusifia upuuzi?. Unajidhalilisha tu kwa sababu ya njaa. Teuzi zikufate kama surprise, sio kama fadhila ya kusifia sifia kizandiki.
 
Naona akili yako yote inawaza uteuzi kwa sasa
 
Ndugu zangu,

Rais mstaafu mh Jakaya Kikwete Ndiye Aliyenishawishi Kujiunga na CCM Mwaka 2005 Nikiwa mkoani Rukwa wilaya ya sumbawanga vijijini, mji mdogo wa laela Jimbo la kwela lililokuwa linaongozwa na Marehemu chrisant maji ya Tanga Mzindakaya. Nilikuwa huko kwa baba yangu mdogo ambako nilikuwa nasoma.

Kikwete alikuwa amekuja kuomba kura za Urais katika uchaguzi mkuu ulioacha historia ya kipekee kuwahi kutokea hapa nchini kwa mgombea wa CCm kupendwa na kukubalika na makundi yote na vyama vyote hadi vya upinzani.

Hakika kikwete alikubalika, alipendwa, alikuwa na mvuto wa kisiasa kuwahi kutokea hapa nchini. Kila mtu alitamani kumuona na kumsikiliza, kila mtu alitamani asiondoke na kufunga mkutano, kila mtu alitamani siku ya kupiga kura ifike haraka ili ampigie kura kikwete.

Watu waliona ni kama siku ya kupiga kura inachelelewa sana kufika maana kila mtu alitaka kuwa sehemu ya historia kumpigia kura Kikwete, hakika kampeni zake zilipendeza na kuvutia. Kila Kona na kila mahali ilikuwa ni CCM tu.

Picha zake zilipambwa na kupambika kila mahali, tisheti na vitenge vyenye picha yake vilivaliwa na kila mtu utafikiri sare ya taifa, hakika hata mimi niliitafuta tisheti ya CCM yenye picha yake kwa hali na mali.

Hatimaye Kikwete alikaribishwa jukwaani kutoka jukwaa kuu, lakini kitu alichokifanya Kikwete kilibaki ni historia na kuandika jina lake katika mioyo ya Wafipa na wana laela. Kikwete aliinua mkono wake juu na kufunua lile jukwaa dogo alipokuwa anatakiwa kusimama na kuhutubia kusudi na yeye awe juani maana jua lilikuwa limewaka.

Halafu akasalimia na kwa upole na tabasamu akasema, "NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI", uwanja mzima uliokuwa umefurika mpaka pa kupita sisimizi palikosekana ulilipuka kwa shangwe, nderemo, vifijo, makofi, kelele za kuimba Rais..Rais..Rais zikitawala uwanja wote wa shule ya msingi Laela. Jamani ilikuwa ni furaha kubwa sanaaa kwetu.

Kitendo Cha kutoa kitambaa kilichokuwa kimefunika jukwaa lake ili Naye akae juani Kama sisi kilitugusa na kugusa mioyo ya wote,watu wakasema hakika huyu Ni chaguo la Mungu,Hakika huyu atalia nasi katika shida na kufurahi nasi katika Raha,wakasema hakika huyu Ni Joshua anaye tupeleka Kanaan,wakasema hakika huyu atasimama nasi katika magumu,wakasema huyu Ni mwezetu alietoka na kukulia katika maisha yetu na anayejuwa maisha yetu na Hali zetu. Kila mtu aliongea mengi Sana ya kumpongeza mh kikwete.kama Ni point Basi alizoa point zote,Kama Ni Kura hakika alizoa Kura zoteee za Wana laela,

Kiukweli Ni kutokea hapo niliipenda Sana CCM,Nilitamani ningempigia Kura katika uchaguzi ule lakini nilikuwa sijafikia umri wa kupiga kura ,hivyo nikaishia kuwaambia watu wampigie kura Rais kikwete aliyeonyesha moyo wa upendo kwetu wananchi Hadi kuamua kukaa na kusimama nasi juani licha ya kuwekewa kimvuli,Nikutokea hapo nimekuwa mtafuta Kura za CCM popote pale,Ni kutokea hapo sijawahi kujuta kuwa mwana CCM,Wala sijawahi kuacha kuisemea CCM mahali nilipo,Ni kikwete Ndiye Aliyenishawishi kuipenda CCM maana niliona Ni chama kinachowajali wananchi na kuguswa na shida zao na kuwa na Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania.

Asante Sana mh kikwete kwa kunifanya kuipenda siasa na CCM kwa ujumla,Asante kwa kutujengea shule za kata ambazo Mimi Ni mnufaika nazo na nimefaidika na kupata Elimu kupitia juhudi zako ,Asante kwa kunipatia mkopo wa Elimu ya juu ulionisaidia kutimiza Ndoto zangu za kupata Elimu ya juu licha ya kuwa nimetoka familia masikini,Asante kwa kulitumikia Taifa letu kwa uzalendo mkubwa na kwa demokrasia ya Hali ya juu sana,.

Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Ulivyomsaliti wa kijijini kwenu, hujataja hata mahali alipokuja na changamoto alioitatua ya wananchi wako kipindi hicho,yaani ni aibu Mwanaume mzima kuvutiwa na Sura ya Mwanaume mwanzako. Hii Jf ilishavamiwa kwa kweli.
 
Huyu mbwiga na Suphian Juma aliyetangulia hajulikani
 
Njaa inaleta maarifa, naona sasa mmegundua sehemu za kumwaga sifa na kufanyia uchawa.
 
Umeona Mama amekupotezea unajaribu karata yako kwa JK, hii ni njia ya kishamba sana ya kutafuta uteuzi.
Hali imekuwa ngumu sana, vijana wanajaribu pande zote ili kuhakikisha wanafanikiwa kimaisha.

Wakati vijana wengine wakipambana mitaani,tunao wengine humu mitandaoni wakijaribu kusifia wenye mamlaka na wenye ushawishi kwa wenye mamlaka ili maisha yao yanyooke.
 
Hawa ni rahisi sana 'kuolewa' ili mradi wawepo kwenye mfumo
 
Mh kikwete alikubalika na mamillion ya watanzania ,na ndio kiongozi mgombea pekee kutoka CCM aliye pata kura nyingi Sana kupita mwingine yeyote katika awamu ya kwanza Tangia mfumo wa vyama vingi uasisiwe hapa nchini
Ndiyo! Alikuvutia mpaka ukashawishika kuwa mwana CCM mpaka hii leo. Lakini kumbuka hapo ilikuwa ni wakati wa kampeni zake za mwaka 2004, ebu tupe hisia zako kuhusu na zile kampeni zake za 2009, na pia kuhusu katika kipindi chake cha mwicho pale alipokuwa anakaribia kumuachia JPM madaraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Rais mstaafu mh Jakaya Kikwete Ndiye Aliyenishawishi Kujiunga na CCM Mwaka 2005 Nikiwa mkoani Rukwa wilaya ya sumbawanga vijijini, mji mdogo wa laela Jimbo la kwela lililokuwa linaongozwa na Marehemu chrisant maji ya Tanga Mzindakaya. Nilikuwa huko kwa baba yangu mdogo ambako nilikuwa nasoma.

Kikwete alikuwa amekuja kuomba kura za Urais katika uchaguzi mkuu ulioacha historia ya kipekee kuwahi kutokea hapa nchini kwa mgombea wa CCm kupendwa na kukubalika na makundi yote na vyama vyote hadi vya upinzani.

Hakika kikwete alikubalika, alipendwa, alikuwa na mvuto wa kisiasa kuwahi kutokea hapa nchini. Kila mtu alitamani kumuona na kumsikiliza, kila mtu alitamani asiondoke na kufunga mkutano, kila mtu alitamani siku ya kupiga kura ifike haraka ili ampigie kura kikwete.

Watu waliona ni kama siku ya kupiga kura inachelelewa sana kufika maana kila mtu alitaka kuwa sehemu ya historia kumpigia kura Kikwete, hakika kampeni zake zilipendeza na kuvutia. Kila Kona na kila mahali ilikuwa ni CCM tu.

Picha zake zilipambwa na kupambika kila mahali, tisheti na vitenge vyenye picha yake vilivaliwa na kila mtu utafikiri sare ya taifa, hakika hata mimi niliitafuta tisheti ya CCM yenye picha yake kwa hali na mali.

Hatimaye Kikwete alikaribishwa jukwaani kutoka jukwaa kuu, lakini kitu alichokifanya Kikwete kilibaki ni historia na kuandika jina lake katika mioyo ya Wafipa na wana laela. Kikwete aliinua mkono wake juu na kufunua lile jukwaa dogo alipokuwa anatakiwa kusimama na kuhutubia kusudi na yeye awe juani maana jua lilikuwa limewaka.

Halafu akasalimia na kwa upole na tabasamu akasema, "NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI", uwanja mzima uliokuwa umefurika mpaka pa kupita sisimizi palikosekana ulilipuka kwa shangwe, nderemo, vifijo, makofi, kelele za kuimba Rais..Rais..Rais zikitawala uwanja wote wa shule ya msingi Laela. Jamani ilikuwa ni furaha kubwa sanaaa kwetu.

Kitendo Cha kutoa kitambaa kilichokuwa kimefunika jukwaa lake ili Naye akae juani Kama sisi kilitugusa na kugusa mioyo ya wote,watu wakasema hakika huyu Ni chaguo la Mungu,Hakika huyu atalia nasi katika shida na kufurahi nasi katika Raha,wakasema hakika huyu Ni Joshua anaye tupeleka Kanaan,wakasema hakika huyu atasimama nasi katika magumu,wakasema huyu Ni mwezetu alietoka na kukulia katika maisha yetu na anayejuwa maisha yetu na Hali zetu. Kila mtu aliongea mengi Sana ya kumpongeza mh kikwete.kama Ni point Basi alizoa point zote,Kama Ni Kura hakika alizoa Kura zoteee za Wana laela,

Kiukweli Ni kutokea hapo niliipenda Sana CCM,Nilitamani ningempigia Kura katika uchaguzi ule lakini nilikuwa sijafikia umri wa kupiga kura ,hivyo nikaishia kuwaambia watu wampigie kura Rais kikwete aliyeonyesha moyo wa upendo kwetu wananchi Hadi kuamua kukaa na kusimama nasi juani licha ya kuwekewa kimvuli,Nikutokea hapo nimekuwa mtafuta Kura za CCM popote pale,Ni kutokea hapo sijawahi kujuta kuwa mwana CCM,Wala sijawahi kuacha kuisemea CCM mahali nilipo,Ni kikwete Ndiye Aliyenishawishi kuipenda CCM maana niliona Ni chama kinachowajali wananchi na kuguswa na shida zao na kuwa na Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania.

Asante Sana mh kikwete kwa kunifanya kuipenda siasa na CCM kwa ujumla,Asante kwa kutujengea shule za kata ambazo Mimi Ni mnufaika nazo na nimefaidika na kupata Elimu kupitia juhudi zako ,Asante kwa kunipatia mkopo wa Elimu ya juu ulionisaidia kutimiza Ndoto zangu za kupata Elimu ya juu licha ya kuwa nimetoka familia masikini,Asante kwa kulitumikia Taifa letu kwa uzalendo mkubwa na kwa demokrasia ya Hali ya juu sana,.

Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
JPM unamkumbuka? Au mnamtapeli Huyu mama ikifika 2030 chama na serikali ipoteze uelekeo wa kichama na kiuchumi?
 
Daah mkuu mtembelee pale msoga kodi waandishi njaa wawili watatu kujitafutia Kiki mnajifanya mnaenda kwakwe kuchukua ushauri wa kulima mananasi bora yanahoitajika kwenye soko la dunia
 
Hapo kwenye namba ya simu ndio kunanifurahisha ha ha ha
 
Haka kajamaa kanajua kutengeneza cob web! Kameanza kwa mama na kanaamini kameshamseti sasa kamerudi kwa mzee Jk kakiamini ndio mpanga Safi! Hutaskia kakisifia slogan za John the late hata kidogo. Sasa kanaamini jk atamshawishi mama ! Let's wait and see ndio Aina ya vijana Taifa la Tanzania limebeba! Muulize 2005 Alikua na age gani na Alikua anaqjalify kuhold Kadi ya Chama?
 
Back
Top Bottom