Jakaya Mrisho Kikwete ndiye aliyenishawishi kujiunga CCM mwaka 2005

Hawa ni rahisi sana 'kuolewa' ili mradi wawepo kwenye mfumo​
Kama kijana amefikia hatua ya kujikombakomba kiasi hiki unadhani akiambiwa na mwanaume mwenzake "njoo nikuoe utapata ulaji kwenye mfumo" anaweza kuleta pingamizi?
 
Mh kikwete alikubalika na mamillion ya watanzania ,na ndio kiongozi mgombea pekee kutoka CCM aliye pata kura nyingi Sana kupita mwingine yeyote katika awamu ya kwanza Tangia mfumo wa vyama vingi uasisiwe hapa nchini
Na ni nani aliyepata kura nyingi za ubunge toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe?
 
Naishauri Serikali kupitia Wizara ya Elimu wawe wabunifu kwa kuingiza rasmi somo la UCHAWA katika mitaala yote kuanzia shule za awali,msingi,sekondari na Vyuo vya Elimu ya juu.
 
Kijana tafuta mbinu nyingne ya kuweza kutoka hakika uchawa haujawahi muacha mtu swalama.
Pia co kila chawa ataweza fanikiwa
 
Kipi kinachokufanya kuandika namba yako ya cmu kama co uchawa??????
 
Na namba ya simu umeweka kabisa ishara ya kutaka kuolewa hii.
 
Acha mawazo na fikiri za kizamani,Mimi Ni mkulima na ninaendelea na kilimo,Sasa wewe kaa hapo hapo ukinisubiri nilime ili nilete chakula huko mjini halafu uanze kulalamika Bei kuwa kubwa
 
Narudia Tena kukwambia kuwa Mimi naendelea kutumia Neema tuliyopewa na Mwenyezi Mungu ya kuwa na Ardhi kubwa yenye rutuba kujipatia Mahitaji yangu kwa kutumia jembe
 
Wewe kwa nini hutembezi maji na pipi barabarani badala yake uko hapa unajikomba ukisubiria teuzi?
Mimi Ni mkulima Tayari,Hata hivyo watu wote hatuwezi tukafanya shughuli moja wakati hata mazingira yanatofautiana,kila mtu anafanya shughuli yakiuchumi kulingana na mazingira anayoishi,mazingira yangu Ni mazuri Sana kwa kilimo ndio maana naendelea kuwa mkulima na kukipenda kilimo
 
Kama kijana amefikia hatua ya kujikombakomba kiasi hiki unadhani akiambiwa na mwanaume mwenzake "njoo nikuoe utapata ulaji kwenye mfumo" anaweza kuleta pingamizi?
Ukiona una mawazo ya namna hiyo Kama uliyo nayo Basi bila Shaka unatatizo linalohitaji usaidizi wa kielimu ili uweze kujitambua
 
Na ni nani aliyepata kura nyingi za ubunge toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe?
Kwani wapi nimeongelea habari za ubunge Mimi,Kama unataka Hilo unaweza kuandika nawe maana hakuna anayekuzuia kufanya hivyo
 
Sasa kama ulijiunga na ccm,so fucking what!!kujiunga kwako na ccm,Kuna faida gani kwa wananchi,zaidi ya kukizi njaa binafsi?
Cha upekee ni kipi?ccm imekupa mtaji,ukaanzisha shughuri ukatoa ajira kwa vijana?au imekuwezesha kubuni bidhaa Bora ?
Watz wengi wameishajua,ccm ni majambazi,yameiteka nchi!!it's a matter of time,before hakijanuka,
It's not if,it's when will the hell bleak loose,na maccm yakakimbia kama mavichaa,tutayawinda kila kona
 
Akili yak ukitulia utagundua kuwa uliyoandika umeandika mihemuko ukiwa mahali,nchi hii Ni Tulivu na salama kutokana na umadhubuti na ushupavu wa serikali ya CCM na namna ilivyowaunganisha watanzania katika kuijenga Tanzania yetu,Hakuna mtu atakaye pata nafasi ya kuvuruga nchi yetu. Kama huamini Basi jaribu kufanya hivyo ili ukione Cha mtema kuni
 
Kijana tafuta mbinu nyingne ya kuweza kutoka hakika uchawa haujawahi muacha mtu swalama.
Pia co kila chawa ataweza fanikiwa
Mimi Ni mkulima Tayari,Jukwaa hili Ni mahali huri ambapo you huri kuwasilisha chochote kwa kuzingatia Taratibu,kanuni,Sheria na miongozo ya jukwaa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…