Jakaya Mrisho Kikwete, Wafanyakazi wa Tanzania wanakumiss sana. Pumzika baba, jipe raha, wewe ni binadamu!

Jakaya Mrisho Kikwete, Wafanyakazi wa Tanzania wanakumiss sana. Pumzika baba, jipe raha, wewe ni binadamu!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
img-20221219-wa0001-jpg.2451585

Wafanyakazi wa Tanzania wanakukumbuka kwa nyongeza zako nzuri za mishahara kila mwaka kwa miaka yako yote uliyotumika kama Mwajiri mkuu!! Jipe raha, pumzika kwa raha zako, kazi uliifanya!

Tunajisikia raha tunapokuona unazidi kuwa kijana kila leo! Yaani hapo una miaka 72 lakini ni kama una miaka 55. Hongera sana. Tumpe pia hongera mama Salma Kikwete naona anakulea vizuri sana!

Hongera sana mama. Tungetamani kama ikiwezekana urudi tena ikulu. (Msiniponde mawe, hayo ni mawazo yangu hata kama yanatofautiana na ya kwako).
 
e16798.jpg

Hapo Kikwete alikuwa ametembelea kwenye makao makuu ya Shirikisho la kazi duniani (ILO) huko Geneva Uswiss
 
Katiba ya nchi inasema mtu hawezi kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa zaidi ya vipindi viwili mfululizo!! Kwa maana hiyo kama siyo mfululizo anaweza kuwa rais!! Tunamtaka Kikwete tena!!

Dah,we jamaa ni mkorofi,sidhani Kama katiba imesema hivo,tuwekee hicho kipande tujionee wenyewe😄😄
 
Hivi kwanini hatuoni kama tupo nyuma sana kimaendeleo ukilinganisha na muda wa toka tupate uhuru wetu? Ndio kwanza tunapongezekana kuongeza mishahara na sio kuondoa changamoto zetu zile sugu.
 
img-20221219-wa0001-jpg.2451585

Wafanyakazi wa Tanzania wanakukumbuka kwa nyongeza zako nzuri za mishahara kila mwaka kwa miaka yako yote uliyotumika kama Mwajiri mkuu!! Jipe raha, pumzika kwa raha zako, kazi uliifanya!

Tunajisikia raha tunapokuona unazidi kuwa kijana kila leo! Yaani hapo una miaka 72 lakini ni kama una miaka 55. Hongera sana. Tumpe pia hongera mama Salma Kikwete naona anakulea vizuri sana!

Hongera sana mama. Tungetamani kama ikiwezekana urudi tena ikulu. (Msiniponde mawe, hayo ni mawazo yangu hata kama yanatofautiana na ya kwako).
"Watu wema hawafi"

Kutoka Maktaba😂😂
 
Back
Top Bottom