mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kumbuka wafanyakazi walicholipata baada ya kikwete kutoka madarakani!!! Kwa miaka 5 mfululizo nyongeza ni sifuri!! Mwaka huu nyongeza ni kama m*t*s* vile!! Kikwete atabakia kama binadamu mioyoni mwa wafanyakazi!!Unaongezewa mshahara elfu 20 alafu unga unapanda elfu 30
Hakuna cha version 2 wala nini, watu wanampakazia tu!!Unammisije wakati tupo kwenye version 2 yake?
Katiba ya nchi inasema mtu hawezi kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa zaidi ya vipindi viwili mfululizo!! Kwa maana hiyo kama siyo mfululizo anaweza kuwa rais!! Tunamtaka Kikwete tena!!
Magufuli huyoUnaongezewa mshahara elfu 20 alafu unga unapanda elfu 30
Pamoja na hakukuwai kuongezeka mishahara kipindi cha kichaa wa kisukuma hatukuwai kununua mchele kg 3500 ,kipindi cha kichaa yule hela itunzika na mishahara ilikuwa inakutanaBaada ya hapo tukaletewa kichaa wa Kisukuma na akatuharibia sana.
Tanzania kuna uhuru wa mawazo kwa mujibu wa katiba yetu ili mradi sivunji sheria!! Mwenye mawazo mbadala ruksa!!Mkuu wazee wa legasi watakupopoa mawe.
Huyo ni chawa wa Ridhiwani KikweteUnaongezewa mshahara elfu 20 alafu unga unapanda elfu 30
"Watu wema hawafi"
Wafanyakazi wa Tanzania wanakukumbuka kwa nyongeza zako nzuri za mishahara kila mwaka kwa miaka yako yote uliyotumika kama Mwajiri mkuu!! Jipe raha, pumzika kwa raha zako, kazi uliifanya!
Tunajisikia raha tunapokuona unazidi kuwa kijana kila leo! Yaani hapo una miaka 72 lakini ni kama una miaka 55. Hongera sana. Tumpe pia hongera mama Salma Kikwete naona anakulea vizuri sana!
Hongera sana mama. Tungetamani kama ikiwezekana urudi tena ikulu. (Msiniponde mawe, hayo ni mawazo yangu hata kama yanatofautiana na ya kwako).