Machinga sio mtu aliyetoboa...ili kutoka kwenye umachinga mpak kuwa giant firm lazima uwe na connection....sorry nisijekuwa naongea na mtu aliyeajiliwa au mwenye kibanda cha Mpesa..mana nahs ntapoteza mda
Kwa staili ya mkuu lazima atoboe viatu kaanza kuvaa 2018!
Ni ngumu sana mtu kukuelewa hapo utakuta ni sekretari wa ofisi unafikiri atakuelewa?
Mtu anakwambia connection ni kwenye kuajiriwa tu, sasa mtu kama huyu hata ukeshe nae hawezi kukuelewa unamaanisha nn...
Stori yangu nitaambiwa ni chai kwasababu nilivyofanya ni vile watu wanasema haiwezekani.
kutoka hatua ya kwanza mwaka 2005 kwenda hatua ya pili mwaka 2009 lazima kuna mtu alimshika mkono kwa kumuongezea mtaji
MueleZee huyo mkuu.Ninamfahamu mmoja alifanya maajabu sana adani ya mwaka na nusu , very clean business na alianza Majalala kabisa , huyo hapo cha mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, kumbuka huyo ni mwanaume.kutoka hatua ya kwanza mwaka 2005 kwenda hatua ya pili mwaka 2009 lazima kuna mtu alimshika mkono kwa kumuongezea mtaji
Ila zingekua za Makonda, negative comment zingekua nyingi.Nimeipenda sana hii. Yaani amejiwekea kumbukumbu nzuri.
Picha tatu za mwanzoni alikuwa kavaa kandambili/yeboyebo, lakini hiyo ya nne dah yuko bomba.
Hili ni fundisho tu kuwa tusiwaone watu wamefanikiwa tukafikiri walizaliwa matajiri. Kuwa na malengo ni kitu kizuri.
Hongera zake
Connection zipo mkuu, mfano, Ze original commedy walivyoaanza, walipewa mashavu na connection hata Manji, Mengi, Serikalini, Campeni za ccm, ziliwababa, baadae wakaanza dharau kutuonyesha yale mashamba eti ndio yamewatoa.Connection kiaje kwa mfano?ni nini kinaanza kati ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa na hiyo unayoiita connection?vijana kazeni msilishwe matango pori
Sijakuelewa vizuri, naomba kabla ijakujibu ufafanue zaidi unachomaanisha.Ila zingekua za Makonda, negative comment zingekua nyingi.
Connection zipo mkuu, mfano, Ze original commedy walivyoaanza, walipewa mashavu na connection hata Manji, Mengi, Serikalini, Campeni za ccm, ziliwababa, baadae wakaanza dharau kutuonyesha yale mashamba eti ndio yamewatoa.
+1
Mi mwenyewe ipo hivo , sijawahi ku experience kitu kinaitwa connection, na project zangu mara nyingi ni solo oriented.
Juhudi plus nidhamu ya juu sana ya pesa , ndo kinanibeba nikisimulia hapa poa itaonekana chai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio chai tu..watakuchukua ..usithubutu..humu tunapenda nyuzi za shida shida tu..! Nyuzi za kueleza mafanikio sisi waja hatupendi