Jamaa aelezea safari yake ya biashara miaka 13 kwa picha nne

Jamaa aelezea safari yake ya biashara miaka 13 kwa picha nne

Kwan mwenye kibanda cha mpesa anakipi kilichopungua hadi asiweze kujadiliana nawe?,
Machinga sio mtu aliyetoboa...ili kutoka kwenye umachinga mpak kuwa giant firm lazima uwe na connection....sorry nisijekuwa naongea na mtu aliyeajiliwa au mwenye kibanda cha Mpesa..mana nahs ntapoteza mda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu mnajua kuweka classes!! Kwamba Kuna watu humu hawastaili kujadiliana nao sababu ya uelewa wao?
Ni ngumu sana mtu kukuelewa hapo utakuta ni sekretari wa ofisi unafikiri atakuelewa?

Mtu anakwambia connection ni kwenye kuajiriwa tu, sasa mtu kama huyu hata ukeshe nae hawezi kukuelewa unamaanisha nn...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
+1
Mi mwenyewe ipo hivo , sijawahi ku experience kitu kinaitwa connection, na project zangu mara nyingi ni solo oriented.

Juhudi plus nidhamu ya juu sana ya pesa , ndo kinanibeba nikisimulia hapa poa itaonekana chai.
Stori yangu nitaambiwa ni chai kwasababu nilivyofanya ni vile watu wanasema haiwezekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeipenda sana hii. Yaani amejiwekea kumbukumbu nzuri.
Picha tatu za mwanzoni alikuwa kavaa kandambili/yeboyebo, lakini hiyo ya nne dah yuko bomba.
Hili ni fundisho tu kuwa tusiwaone watu wamefanikiwa tukafikiri walizaliwa matajiri. Kuwa na malengo ni kitu kizuri.

Hongera zake
Ila zingekua za Makonda, negative comment zingekua nyingi.
 
Connection kiaje kwa mfano?ni nini kinaanza kati ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa na hiyo unayoiita connection?vijana kazeni msilishwe matango pori
Connection zipo mkuu, mfano, Ze original commedy walivyoaanza, walipewa mashavu na connection hata Manji, Mengi, Serikalini, Campeni za ccm, ziliwababa, baadae wakaanza dharau kutuonyesha yale mashamba eti ndio yamewatoa.
 
Watu hawajui nini maana ya connection.
Connection zipo mkuu, mfano, Ze original commedy walivyoaanza, walipewa mashavu na connection hata Manji, Mengi, Serikalini, Campeni za ccm, ziliwababa, baadae wakaanza dharau kutuonyesha yale mashamba eti ndio yamewatoa.

Portfolio | 2020
 
+1
Mi mwenyewe ipo hivo , sijawahi ku experience kitu kinaitwa connection, na project zangu mara nyingi ni solo oriented.

Juhudi plus nidhamu ya juu sana ya pesa , ndo kinanibeba nikisimulia hapa poa itaonekana chai.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio chai tu..watakuchukia ..usithubutu..humu tunapenda nyuzi za shida shida tu..! Nyuzi za kueleza mafanikio sisi waja hatupendi
 
Back
Top Bottom