Jamaa aelezea safari yake ya biashara miaka 13 kwa picha nne

Jamani,jaman, Yani kuwa machinga na kujinyima kunahitaji konektioni? Na mnataka kutuaminisha eti sekeritari wa "ofishi" hawezi kuwa na noleji ya biashara?
Haya nenda kawa machinga ujinyime na wewe utoke kimaisha teh teh wabongo bhana
 
Kwanini mna mawazo haya? Ni malengo na nidhamu Tu.
Kuna siku ulisema utaleta thread namna ulivyoanza biashara kwa mtaji mdogo mpk kufikia hapo ulipo.

Nadhani ni muda muafaka sasa kwahio thread.
 
kila jambo linawezekana ikiwa kuna malengo,jitihada, uvumilivu, pamoja na kutokukata tamaa.
 
Stori yangu nitaambiwa ni chai kwasababu nilivyofanya ni vile watu wanasema haiwezekani.
MKUU @PRONDO,

NADHANI UNAWATAMBUA VEMA WABONGO KWA KUKOSOA NA KUPINGA VITU KIZEMBE-

HATA UKIWAAMBIA KUWA WEWE NI UNA MIGUU MIWILI KAMA WAO,
KUNA BAADHI WATASEMA NI CHAI.

HIVYO BILA KUJALI WEWE TUWEKEE SAFARI YAKO ILIVYOKUWA KWANI HATA HAO WATAKAOSEMA KUWA NI CHAI WATAKUBALI KIMOYOMOYO!!!

USISAHAU KUNI_TAG.
 
Wataalam wanasema biashara nyingi mpya zinakufa ndani ya miaka 1-5. Nilianza 2015 nasubiri ku-survive 5yrs kwanza.
 
Wataalam wanasema biashara nyingi mpya zinakufa ndani ya miaka 1-5. Nilianza 2015 nasubiri ku-survive 5yrs kwanza.
Well,

Ila yaweza kuwa kuna ufanisi mkubwa umeufikia ndani ya miaka HII mitatu.

Hauwezi kutupa japo mawili-matatu kwa experience ya kipindi hiki kifupi?
 
Bila connection hapa duniani huwez kutoboa...huwez jua wakat anaanza ni watu gan wa muhimu katika kupata taarifa walikuwa wamemzunguka...amekomaa na ameweza bigup
Lazima uanze ndio upate connection.
 
Vinawezekana kama alikuwa anafanya kazi mbili au tatu.
Mfano
Kazini kwetu kuna kijana ni mfagizi mshahara wao ni Tshs 120000.yeye ana kipaji cha ufundi ofisi inamtumia kukarabati vitu vingi kwa malipo na pia usiku kuna nyumba analinda(anapolala).kwa hiyo kuanzia asubuhi mpaka ana lala yeye ni kuhesabu tu pesa japo ndio vidogo dogo lakini vinaingia.
 
Stori yangu nitaambiwa ni chai kwasababu nilivyofanya ni vile watu wanasema haiwezekani.

Wachache tutajifunza kupitia kwako
Wapuuzie hao wengine hawana hata biashara au hawajawahi kufanya kabisa
 
Biashara yoyote ile inahitaji discipline ya hali ya juu ili uweze kufanikiwa...
 
Connection kiaje kwa mfano?ni nini kinaanza kati ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa na hiyo unayoiita connection?vijana kazeni msilishwe matango pori
Bila connection hapa duniani huwez kutoboa...huwez jua wakat anaanza ni watu gan wa muhimu katika kupata taarifa walikuwa wamemzunguka...amekomaa na ameweza bigup
 
Bila connection hapa duniani huwez kutoboa...huwez jua wakat anaanza ni watu gan wa muhimu katika kupata taarifa walikuwa wamemzunguka...amekomaa na ameweza bigup
Connections sio kitu unachozaliwa nacho

Unatengeneza
 
Connection kiaje kwa mfano?ni nini kinaanza kati ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa na hiyo unayoiita connection?vijana kazeni msilishwe matango pori
Usitumie makalio kufikr....umeanza vizur ila umemaliza kwa vijembe, kejeli na dharau..kama hujui maana ya neno "connection" katika industry yyte is better to close ur shatup ass..usifkr kila kijana ni kihiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…