Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Haya nenda kawa machinga ujinyime na wewe utoke kimaisha teh teh wabongo bhanaJamani,jaman, Yani kuwa machinga na kujinyima kunahitaji konektioni? Na mnataka kutuaminisha eti sekeritari wa "ofishi" hawezi kuwa na noleji ya biashara?