Wajita wana shida gani kwani?Wewe unataka uwe unaongea nae nini muda wote au nyie ni familia ya wajita nimpe pole uyo muoaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajita wana shida gani kwani?Wewe unataka uwe unaongea nae nini muda wote au nyie ni familia ya wajita nimpe pole uyo muoaji.
😂😂😂Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu,
Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.
Nyie vijana acheni dharau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Inaonekana mna umasikini wa kupindukia
Mahari haiwezi fanya ukawa tajiri ndugu yangu
utasabisha dada yako aishi kwa manyanyaso
mimi binti yangu akiolewa sitadai mahari ila mambo ya kimila
nitatimiza wazee wangu blanket na zawadi zawadi
mimi siuzi mtoto wangu
Huyo mbona ndo size, mlete kwanguAmezaliwa mwaka 1997 uko tayari
Ndio maana mnawachoma hata visu had wake zenu sabbu upendo hamna
ukigundua mkeo akiwatenga nduguzako utajisikiaje?
Mke nikimuoa kaja kwenye ukoo wangu, mwanamke hana dini, jina wala kabila, jina la ukoo mpaka atachukua langu, kabila na dini atahamia vyangu, Sasa aingie kwenye ukoo wangu halafu awabague nduguzangu? Inaingia akilini?Ndio maana mnawachoma hata visu had wake zenu sabbu upendo hamna
ukigundua mkeo akiwatenga nduguzako utajisikiaje?
Samahani mkuu, aliyeolewa ni dada yako ama weweHuyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu,
Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.
Nyie vijana acheni dharau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Mwanzo nilidhani nazungumziwa mm,Huyo shemeji yako inawezekana ni Mimi 😂😂😂... Anyway, wengine maswala ya kupiga piga simu hatuko vizuri sana angalau utume msg utajibiwa.