Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
[emoji32][emoji33][emoji29][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Acha roho ya kiafrica. Awasiliane na nyie ili nini? Yeye na dada yako tayari ni familia moja, achana na mambo yao. Mambo yao wanayafahamu wenyewe. Unataka shemeji awe anawapigia kila siku makaka wa mke ili mumwombe tu hela za pombe? Upumbavu sana huu.
 
huyo jamaa yuko kama mie,, nampigia mama mkwe na baba mkwe,, hao wengine watulie tu
 
Shukuru Mungu sana kwa Dada kupata mume maana ameleta heshima,sasa angeleta mtoto mlee ndio chamoto mngekiona kwa kulea halafu Mwenye mwana yupo anakula bata,hasikii wala haambiwi kitu.
Pili acha roho ya umasikini pambana na maisha yako.
 
Acha shobo.. unless otherwise unataka jamaa awe anawapiga pumbu na nyie.
 
Mahari huwa haiishi...
Awapigie ninyi ili aongee nini?
 
Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu,

Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.

Nyie vijana acheni dharau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Alisikika shemeji mvivu akisema....
 
Kinachosikitisha ni mtoto wa kiume kulilia kupigiwa simu na shemeji yake!. Ni huzuni kwa kweli.

Mimi kwa mwakan jana nimeongea na shemeji yangu mara 2, tena baada ya kukomaliwa na wazee nimsalimie
Hamna dili la hela au mchongo wowote, mnataka mmpigiane simu kila siku kuulizana za huko, vip mambo, mambo mengine?! Huo ni uwaki
 
Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu,

Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.

Nyie vijana acheni dharau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Sijajua ww ni Ke au Me,ila kama Ke sio mbaya, ila kama Me aisee tunaweza kukupoteza kwenye chama cha wanaume.
 
Unampigia shemeji yako unataka kumwambia nini? Mwambieni dada yenu, yeye dada yenu ndio ataongea na mume wenu(shemeji yenu) full stop.
Mnataka mumzoee muanze kumuagiza matembele na maandazi kama mnavyotumwa nyie nyumbani kwenu?
Shemeji yako muheshimu.
Kweli kabisa.

Kama kuna mambo au shida fulani wanamwambia dada yao, kisha dada yao anayachuja kwa jinsi anavyomjua mumewe, ya kipuuzi hamwambii anamwambia yaliyo na maana.

Sasa wewe unataka kuongea live na shemeji ilhali umemjulia uzeeni, hujui mtu ana principle zipi unaanza "shemeji jumapili twende Beach ⛱ 😄 😆
 
Ukichunguza watu wanaompopoa ntoa mada hawana upendo hata na nduguzao pia ndivyo ilivo
 
Huyo shemeji yako inawezekana ni Mimi 😂😂😂... Anyway, wengine maswala ya kupiga piga simu hatuko vizuri sana angalau utume msg utajibiwa.
Bora wew umejua udhaifuwako huwez kupiga simu mara Kwa mara
Kuliko et amwambie nn serious kumjulia binadamu mwenzio hali Tena unaishi na dadayke iwe kosa kweli ubinadam sikuhiz hakuna na ndio maana ni rahis hata kuuana huko kwenye hizo ndoa
 
Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu,

Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.

Nyie vijana acheni dharau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Hii kasumba ya kiafrica ifike wakati tuachane nayo, ameoa dada amelipa mahali mmemalizana, kazi imebaki kwa dada kuhakikisha mwamba anapata bururani aliyoilipia!
 
Wakwe wapigiwe japo mara moja kwa mwezi, story zisizid dakika 2,

Sijui shemej, mara wadogo wa mke hao wa kazi gani? Achanen nao, unless itokee kuna kazi mnafanya pamoja,
Hata wazazi wako mwenyewe hamna ulazima wa kupiga simu mara kwa mara
 
Bora wew umejua udhaifuwako huwez kupiga simu mara Kwa mara
Kuliko et amwambie nn serious kumjulia binadamu mwenzio hali Tena unaishi na dadayke iwe kosa kweli ubinadam sikuhiz hakuna na ndio maana ni rahis hata kuuana huko kwenye hizo ndoa
Yeah Mimi huo ndio udhaifu wangu mkubwa kwakweli... But angalau mleta mada amesema dada yake anasema wanaishi vizuri na jamaa so nadhani itakua nae huyo jamaa sio mtu wa simu simu ile saaana.
 
Yeah Mimi huo ndio udhaifu wangu mkubwa kwakweli... But angalau mleta mada amesema dada yake anasema wanaishi vizuri na jamaa so nadhani itakua nae huyo jamaa sio mtu wa simu simu ile saaana.
Bora iwe hivo japo imenishangaza mm navoelewa mkishaona familia zinaungana
Wakwezako ni wajibuwako kuwaangalia na wazaziwako ni wajibu wa mke pia kuwaangalia
Unajisikiaje mkeo akiwatenga nduguzako?

Kwakweli hapana utu hamna Bora uwe mvivu lakin uweke akilinj kuwa kukuozesha sio Kwamba hawamtaki nduguyao na ndio maana hata ukimuacha na watoto watano ndugyzake watampokea pale ndo damuyake ilipo
 
Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu,

Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.

Nyie vijana acheni dharau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Hakuna alichokisahau hukonkwenu,alishachukua mali yake
 
Back
Top Bottom