Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

Hamia kwake kumkomoa, awe kaoa dada na kaka dume zima ng'ang'ana shemeji huna majukumu ya kutekeleza ondoka nyumbani kajitegemee kama utakuwa na mawazo mgando ya hivyo
 
huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Duh..!
Hivi mtoto wa kiume unatamani vipi mazoea na Shemeji yako anayekula dadako?
Unataka awe anakupigia pigia simu uongee naye nini?
Kweli kwa vijana wa hivi tuilaumu ccm?
 
Mmekula mahari yake alafu mnataka mpigiwe na simu tena, dada yako akishaolewa huna mamlaka nae hivyo hata shemeji yako kupiga simu sio lazima
 
Shemeji yako ubampigia simu wa kazi gani sasa ili iwejeee
 
Ukiona hivo ujue ndugu yako kimeo. Hapa jama hana mke. Na hilo deni unalodai, hajakosa. Ila anajutia hata kiasi kilichotolewa. Chukueni mtu wenu. Ndugu wa siku hizi msingekuwa mnaishi kwa mihemko, nadhani mngekuwa mstari wa mbele kuwa karibu nae, mngejua mengi!!!!
 
huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Na wewe utaolewa subilia
 
Hivi unawapigia pigia ukweni ili iweje kama sio kutaka kupigwa vizinga

Mimi wakwe siwapigiagi tena sio kukwepa vizinga ila najikuta sina story za kupiga nao
Yani uwapigie wakwe mpige story gani ?? Dah ...siwezagi kabisa mara chache wife akiwa anangea nao ndio utasikia mpe mkwe tumsalimie lakin sio vinginevyo
 
huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Hata yeye hawapendi 😅😅😅😅
 
Acheni shobo na maisha ya watu nanii
 
Shemeji umeamua kuja kunitangaza mtandaoni sio? Bado hujasema mpka useme.
 
Yani uwapigie wakwe mpige story gani ?? Dah ...siwezagi kabisa mara chache wife akiwa anangea nao ndio utasikia mpe mkwe tumsalimie lakin sio vinginevyo
Na hapo yenyewe ni maneno mawili matatu basi
 
huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Punguza wivu.
Waacheni wajenge familia yao.
 
huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Hahahhahahahahahhahahah.......umeamua Kuja kunisema huku .......ila usisahau hata wewe umezaaa na unachonifanyia na ikawe Kwa uzao wako piaha....
 
Back
Top Bottom