Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
unatokea kwenye familia ya kinge........... sana hata mm nisingewapigia kwani kutomalizia mahari ndo nn
 
Wewe dai mahari tu, mambo ya simu kupigiwa hayana tija , yeye ana familia yake na dada yako , so mind your business[emoji91]
 
Njoo PM kama una miaka mtoto wa kike.
 
Ndio maana mnawachoma hata visu had wake zenu sabbu upendo hamna
ukigundua mkeo akiwatenga nduguzako utajisikiaje?

Ndio maana mnawachoma hata visu had wake zenu sabbu upendo hamna
ukigundua mkeo akiwatenga nduguzako utajisikiaje?
Mke nikimuoa kaja kwenye ukoo wangu, mwanamke hana dini, jina wala kabila, jina la ukoo mpaka atachukua langu, kabila na dini atahamia vyangu, Sasa aingie kwenye ukoo wangu halafu awabague nduguzangu? Inaingia akilini?
 
Samahani mkuu, aliyeolewa ni dada yako ama wewe
 
Mtoa mada nipo online kapopolewa hadi raha, atakuwa hana kazi za kufanya pia ni masikini mno kutokana na mawazo yake kuwa mgando na uvivu wa kufikiri, huwezi kuwa na kazi za kufanya dume zima halafu ukawa na mawazo ya kipumbavu hivyo, jamani vijana wenzangu tusioe familia za kimasikini kama za mtoa mada.
 
Huyo shemeji yako inawezekana ni Mimi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... Anyway, wengine maswala ya kupiga piga simu hatuko vizuri sana angalau utume msg utajibiwa.
Mwanzo nilidhani nazungumziwa mm,
 
Mmempa kijana wa watu tatizo la familia yenu na bado mnataka kumuongezea matatizo mengine.Si mumshukur hata kawaondolea aibu?
Achen watu wafuraie ndoa yao,nyie ndio mtamjaza maneno dada yenu aje kuishia kuwa single mama
 
Huyu mlalamikaji kama na muhisi ivi mana huku tulipo kuna mtanange kama huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…