Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

Kwa kweli vijana mshukuru sio watoto wote wa kike wamezaliwa na wanawake wenye akili hii aliyoionyesha madam mwajuma.
 
Mmmmmmh hapa pagumu sasa, kwani alishindwa kupanga? Yaan unazidi kutuchanganya wachangiaji wenyewe. Lol

Eti utoke kufanya kazi ua utendaji tarafa kama anavyosema japo ni afisa tarafa, kwenda kufanya kazi sheli ..... daaaaa hatari sana. Kwa usawa huu utoke serikalini uende sheli? Ambayo siku 2 tatu unafukuzwa.

Anyway tumetofautiana
 
Eti utoke kufanya kazi ua utendaji tarafa kama anavyosema japo ni afisa tarafa, kwenda kufanya kazi sheli ..... daaaaa hatari sana. Kwa usawa huu utoke serikalini uende sheli? Ambayo siku 2 tatu unafukuzwa.

Anyway tumetofautiana
Sheli kuna kazi nyingi tena ajira rasmi sio kuweka mafuta kwenye gari tuu
 
Mkuu nisiache na mm kuchangia..moja mbili...

1.Mwambie Huyo Bingwa...Hili nalo Litapita kama mengine yalivyopita

2.Muda ndio Mwamuzi wa Haraka Hapa Duniani..Ampe huyo mwamke muda...Moya wa Dogo ukipona wa mwanamke utaanza maumivu yasioisha

3.Hakuna Urafiki wa namna hiyo wala ukaka huyo ni nyoka na nyoka huwa tunajua tunawafanya nn...asitake mazoea nae

4.hela ndio kila kitu..aitafute kwa hasira sana halafu aoe dem ambae anafaa kuwa mke

5.Ajikaze...Ndio maana kaumbwa mwanaume
 
Shukran Sana mkuu kwa kuufuatilia vema huu mjadala,

Pamoja na mchango wako uloshiba vilivyo,

Khs mama wa mtoto wake sijajua Yuko wapi kwa Sasa na kwanini hawaishi pamoja (labda ntakuja kumuuliza)

Ila nnachojua mwanae anamlea yeye mwenyewe na mama yake mazingira Yale Yale home kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti utoke kufanya kazi ua utendaji tarafa kama anavyosema japo ni afisa tarafa, kwenda kufanya kazi sheli ..... daaaaa hatari sana. Kwa usawa huu utoke serikalini uende sheli? Ambayo siku 2 tatu unafukuzwa.

Anyway tumetofautiana
Hata Iyo kazi alokua akifanya ilkua Ni bosheni tu mwanamke mwenyewe asijiskie vibaya kwasababu hajamuoa bado.
Na hata Ela alokua akilipiwa hata sijui alkua anafanyia nn maana kila kitu dogo alkua anamgharamia.

Ila jamaa lengo lake kubwa,
akishamuoa rasmi aje asimamie biashara zake tu.(Hii tunalijua sisi watu wake wa karibu TU)



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran Sana mkuu kwa mchango wako, unafanyiwa kazi [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Update......
Dogo anaendelea vizur,

LEO KAANZA KWENDA TENA KAZINI.

Nmefayafanyia kazi maoni yenu kwa ufasaha kabisa na naendelea kuyafanyia kazi.

Mungu Ni mwema[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeeeeh mbna unatuchanganya sasa, yaan had wadogo zake wanaishi ktk nyumba anayolipa kod dogo, afu wazazi hawamtaki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuuh hii kali. Sasa
Wale wazazi wake Ni wapumbavu,
Na inaonekana msemaji mkubwa was ile familia Ni mama mtu.

Mzee wao namuona Kama zimeruka ruka Kias flan, ana upole flani hivi wa kizoba zoba.

Tangu uyo binti kaenda kutolewa mahali kwao alikwenda na uyo mdg wake na hawajarudi wote kule Hadi leo Hii.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…