Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

Akili yangu inanambia anajiliza uwongo kua kalazimishwa.

Afu kingine nnavojua,
Mpaka aolewe na jamaa sio kwei kwamba jamaa hajawai hata kumuonja.

Uyu brother Hana roho iyo eti akaoe mwanamke hajamuonja.

Na Kama kamuonja hatuwezi kusema eti na Hilo nalo kamlazimisha au alimbaka
 
Tatizo wanatanguliza hisia mzee, hapo jamaa atakuwa kamuimbisha Kwa maeneno matamu , kama kawaida ya michepuko mwishowe kabeba mazima
Aisee Kuna Watu wana ujasili Sana.

Sijui huo ujasili wa kumuimbisha shemeji yako wa miaka mingi unaupata wapi[emoji848]
 

Huyo mwanamke ana uongo wa kitoto sana ila , huyo mwamba waachane tu aheshimu maamuzi ya binti ila liwe funzo kwake next time.
 
unafikiri nakupinga?
 
Huyo mwanamke ana uongo wa kitoto sana ila , huyo mwamba waachane tu aheshimu maamuzi ya binti ila liwe funzo kwake next time.
Ngoja jion tuonane na tuone msimamo wake utakuaje kwenye hili
 
[emoji3516]
THIS PRIVILEGE GIVEN THAT YOU HAVE EXPRESSED HERE SEEMS LIKE "TATEPA".

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Wanawake si wa kuwaamini hata kidogo brother..Mwambie dogo asikaze sana ubongo...achukulie kama imetokea aendelee na maisha...Ingawa ni ngumu sana,inaweza mchukua hata mwaka kuwa stable but ana vingi vya kufanya ukizingatia biashara inaenda vizuri na nyumba inaisha..

He was too good for her,Na uzuri ni kuwa ukitenda sana wema lazima ubaya utakuja ili ukulinde kudhurika na kuumia huko mbeleni zaidi..So hii imekuja kumsave na visanga ambavyo vingeweza mkuta huko mbele..Huyo mwanamke anayeendeshwa na familia na watu wanaomzunguka anaweza fanya lolote ili mradi awa impress familia tuu..

So mwambie ajikaze na apambane kumsahau na kwa ushauri wenu msaidieni kwelikweli...wazo la kumtorosha na kutaka kuwafanya wawe pamoja kilazima si sahihi...What if akatokea mtu katikati yao akatangaza something else inayomvutia huyo mwanamke na kupelekea hata kumtorosha kwenye ndoa si jamaa atakuwa kwenye balaa zaidi..She is ungrateful so muacheni apate wanaendana..
 
Akili yangu inakataa kua uyu mwanamke kweli kalazimishwa Ndoa,

Ndo maana najaribu akija nimpe Ito idea ya kutoroshwa kufichwa kisha nione kama kweli atakubali.

Akigoma ntajua anatufanyia maigizo kwa hizo sentence za kalazimishwa
Usimletee mwenzako balaa zaidi wakati Mungu kasha fanya yake.... Aache umayai... awe na moyo mgumu akubali hali halisi...Angekufa je? Sembuse mtu anatoka na rafiki yako kabisa na mshajua kummiliki ina raha gani tena!!!?
[emoji3591]Kwanza atakuja msumbua badae...
[emoji3591]Anaonekana ana tamaa
[emoji3591]Hata akimrudia atachepuka.
[emoji3591]Mke wa kwanza tu ataenda kuwa fimbo yake...mwacheni
 
Kwa mujibu wake wazazi wanamuelewa huyo mume wa mtu. Ila kama ni wazazi njaa njaa wakitupiwa tu vi senti kidogo hata bila mahari wapo tayari.
 
Haupo Sahihi

KIVIPI mkuu[emoji848]
Kuoa mwanamke asokuwa na msimamo ni bonge la hasara.Huwa naamini kwamba kila jambo linapotokea lina sababu na huyo bwana mdogo kuna jambo kubwa sana anaepushwa nalo.Ila si mbaya akivunja hio ndoa kisha na yeye akaenda kwao kwa lengo la kufunga ndoa na demu kisha ikikaribia tena anasepa halafu abaki katikati ya niia.Maana sio kwa dharau hio
 
Afanyeje Sasa mkuu[emoji848]
 
Kwa mujibu wake wazazi wanamuelewa huyo mume wa mtu. Ila kama ni wazazi njaa njaa wakitupiwa tu vi senti kidogo hata bila mahari wapo tayari.
Jamaa anachojua tangu awali ni kwamba yeye Ndo anatambulika atakuja kumuoa binti yao.

Sidhan kama aliwai kua na ugomvi wowote na wakwe zake maana mwezi wa sita alkua akigharamia matibabu ya mama ake binti pale Ocean road.
Inashangaza sana[emoji848]

Kingine pia
Yupo na dada ake binti Ni mtu wangu wa karibu Sana, na tuna heshimiana sana.

Na juzi nmeonana nae ofsin kwangu.

sema nmeshangaa sana kwanini na yeye kanificha hili suala na inasemekana sikU jamaa anatoa mahali uyo dada mtu alikuepo na ndo alkua mpishi mkuu kwenye shughuli nzima[emoji848].
 
Dogo alichelewa nini na yeye huyo dada pressure zakuolewa zilimfanya aende kwa mwanaume anayetaka kumuoa, ila atajutra ndoa za wake wengi ni jehanum ya duniani atamkumbuka huyo kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…