KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
DuuuuhJamaa mtu wa hovyo Sana,
Jamaa zetu wore kijiweni wamemshangaa Sana kwa hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuuuhJamaa mtu wa hovyo Sana,
Jamaa zetu wore kijiweni wamemshangaa Sana kwa hili.
Huyu hafai kuwa mke na ni muongo na hana msimamo, huyo kaka amwache tu aolewe huyo dadaUpdate....
Ni kwamba mwanamke alinyang'anywa simu ya awali alokua anatumia na kapewa simu mpya yenye line mpya ya Airtel.
Nmefanikiwa kuipata hio namba na nmempigia na kuongea mwanamke mwenyewe.
Anasema,
"Shem mi sio kwamba simpendi rafiki ako, nampenda sana na nilitamani awe mme wangu. Sema rafiki ako hakua serious na Mimi. Miaka 4 yote tangu ameleta barua hamna kinachoendelea. Familia inanisumbua Sana afu nikimwambia hataki kunielewa anadai mpaka amalizie nyumba yake. Nyumba imeisha anadai finishing bado. Hivi kweli shemej nyumbA inaweza mzuia mtu wasifunge Ndoa? Hivi kweli anachonifanyia mwenzako unaona Ni sahii."
Nikamjibu,
"Kwaiyo meji ukaona Njia rahisi Ni kuolewa TU na rafki yake, hujui itamuumiza Kias gani?"
Akasema,
"Shemej nikwambie TU ukweli, uyu B tangu mwanzoni ashaonesha ananipenda Sana. Afu tangu zaman keshaonesha Nia ya kunioa MDA mrefu. Sema Mimi TU ndo nilikua kikwazo, afu kingine uyu B anakubalika Sana uku nyumban.
Shemej presha kwa familia yangu kuhusu B Ni kubwa Sana, Baba na mama na dada zangu wote wanataka niolewe na B. Imefkia mpaka mama ananambia uyu alonichumbia Ni mhuni TU miaka 4 Ni uchumba sugu huo. Imefkia mpaka baba haniongeleshi kisa sitak kuolewa na B. Na wote washanambia nisipoolewa B Mimi sitokua mwanao Tena na watanifuta kwenye ukoo.
Shemej yang mi mwenywe Niko Njia panda apa, moyoni mwangu B hayupo kabisa ila nalazimishwa TU na familia yangu. Uto rafiki yako hawamtaki kabisa ata kumskia uku nyumbani."
Nikamwambia,
"Kwaiyo shemej uko serious kabisa umelazimishwa Hii ndoa?"
Akasema
"Ndio Shem, yaan naomba TU uniombee msamaha TU kwa rafk yako. Mi bado nampenda Sana."
Nikamwambia,
"Bas Shem naomba ufanye jion tuonane ata kwa jamaa tujue tunaliwekaje hili"
Akasema,
"Sawa, ila Mimi kwa jamaa siwez kuja tena.italeta balaa. Labda yeye ata aje kwako niwakute apo kwako"
Nikasema,
"Sawa"
Ninachowaza Sasa,
Kama ni kweli uyu mwanamke kalazimishwa. Na kweli ANAMPENDA jamaa.
Nawaza kumshauri rafiki yangu, ashirikiane na uyu mwanamke.
Kisha binti atoroshwe akawekwe mafichoni kwa sikU kadhaa Hadi ile harusi ilopangwa itakapopita.
Uyu B atakapomtafuta akakosa Basi Iyo Ndoa ya kulazimisha itakua imeota manyoya.
Afu Sasa uyo B aje kwetu kulalamika kwetu katoroshewa MKE, na sisi tuje tumuoneshe kua upumbavu hatutaki.
SIJUI KAMA NIKO SAHII AU LAH[emoji848]
ushauri wenu tafadhali
Hilo lipo wazi mkuuKuna Akili inanambia huenda huu mchakato umeanza MDA mrefu kidg[emoji848]
Update....

Familia ya njaa njaa hiyo...na unajua njaa sio rafiki wa ufahamu. ..watakuja zinduka too late majinga hayoJamaa anachojua tangu awali ni kwamba yeye Ndo anatambulika atakuja kumuoa binti yao.
Sidhan kama aliwai kua na ugomvi wowote na wakwe zake maana mwezi wa sita alkua akigharamia matibabu ya mama ake binti pale Ocean road.
Inashangaza sana[emoji848]
Kingine pia
Yupo na dada ake binti Ni mtu wangu wa karibu Sana, na tuna heshimiana sana.
Na juzi nmeonana nae ofsin kwangu.
sema nmeshangaa sana kwanini na yeye kanificha hili suala na inasemekana sikU jamaa anatoa mahali uyo dada mtu alikuepo na ndo alkua mpishi mkuu kwenye shughuli nzima[emoji848].
Update....
Ni kwamba mwanamke alinyang'anywa simu ya awali alokua anatumia na kapewa simu mpya yenye line mpya ya Airtel.
Nmefanikiwa kuipata hio namba na nmempigia na kuongea mwanamke mwenyewe.
Anasema,
"Shem mi sio kwamba simpendi rafiki ako, nampenda sana na nilitamani awe mme wangu. Sema rafiki ako hakua serious na Mimi. Miaka 4 yote tangu ameleta barua hamna kinachoendelea. Familia inanisumbua Sana afu nikimwambia hataki kunielewa anadai mpaka amalizie nyumba yake. Nyumba imeisha anadai finishing bado. Hivi kweli shemej nyumbA inaweza mzuia mtu wasifunge Ndoa? Hivi kweli anachonifanyia mwenzako unaona Ni sahii."
Nikamjibu,
"Kwaiyo meji ukaona Njia rahisi Ni kuolewa TU na rafki yake, hujui itamuumiza Kias gani?"
Akasema,
"Shemej nikwambie TU ukweli, uyu B tangu mwanzoni ashaonesha ananipenda Sana. Afu tangu zaman keshaonesha Nia ya kunioa MDA mrefu. Sema Mimi TU ndo nilikua kikwazo, afu kingine uyu B anakubalika Sana uku nyumban.
Shemej presha kwa familia yangu kuhusu B Ni kubwa Sana, Baba na mama na dada zangu wote wanataka niolewe na B. Imefkia mpaka mama ananambia uyu alonichumbia Ni mhuni TU miaka 4 Ni uchumba sugu huo. Imefkia mpaka baba haniongeleshi kisa sitak kuolewa na B. Na wote washanambia nisipoolewa B Mimi sitokua mwanao Tena na watanifuta kwenye ukoo.
Shemej yang mi mwenywe Niko Njia panda apa, moyoni mwangu B hayupo kabisa ila nalazimishwa TU na familia yangu. Uto rafiki yako hawamtaki kabisa ata kumskia uku nyumbani."
Nikamwambia,
"Kwaiyo shemej uko serious kabisa umelazimishwa Hii ndoa?"
Akasema
"Ndio Shem, yaan naomba TU uniombee msamaha TU kwa rafk yako. Mi bado nampenda Sana."
Nikamwambia,
"Bas Shem naomba ufanye jion tuonane ata kwa jamaa tujue tunaliwekaje hili"
Akasema,
"Sawa, ila Mimi kwa jamaa siwez kuja tena.italeta balaa. Labda yeye ata aje kwako niwakute apo kwako"
Nikasema,
"Sawa"
Ninachowaza Sasa,
Kama ni kweli uyu mwanamke kalazimishwa. Na kweli ANAMPENDA jamaa.
Nawaza kumshauri rafiki yangu, ashirikiane na uyu mwanamke.
Kisha binti atoroshwe akawekwe mafichoni kwa sikU kadhaa Hadi ile harusi ilopangwa itakapopita.
Uyu B atakapomtafuta akakosa Basi Iyo Ndoa ya kulazimisha itakua imeota manyoya.
Afu Sasa uyo B aje kwetu kulalamika kwetu katoroshewa MKE, na sisi tuje tumuoneshe kua upumbavu hatutaki.
SIJUI KAMA NIKO SAHII AU LAH[emoji848]
ushauri wenu tafadhali
Hio vita si ya mchezo[emoji1787][emoji1787]Update....

Wanawake mna roho mbaya sanaMwanamke kafanya uamuzi sahihi 100% Hakuna uchumba wa miaka 4 ni ubabaishaji. Halafu kama yeye amepanga alishindwa nini kuoa wakaendelea kuishi hapo wakimalizia nyumba? Haimaanishi huyo dada kapata mume Bora anaweza achwa baadae ila sio issue angalau alichagua mtu anayetaka kumuoa.
Kuna roho mbaya inayokuta ya mtu kukuweka uchumba miaka 4? Akukute Una miaka 25 hadi ufikishe 30 hakuoi! Huyo dada kafanya Tu chaguo la hatari ila kuendelea na maisha yake Yuko Sawa.Wanawake mna roho mbaya sana
umeanza vizuri ila mwishoni umesema uongo.Liverpool VPN huwa mna mdharau sana
Yule jamaa ana hoja ya msingi anaposema MSIOE mtafute hela kwanza
Bila shaka hapo HELA ndio chanzo cha yote
Kamanda umerudi tena😂😂😂Mzee wa "usioe"😂😂😁😁Kwahiyo haya mateso hayamtoshi kwamba "BADO ANATAKA KUOA?""
Eeeeeh bagoshaaaa....
#YNWA
Mnatafuta kuvaa shera kuondoa nuksi na kuwatambia wenzenu ndio maana tunawabadirikiaga ....Mwanamke kafanya uamuzi sahihi 100% Hakuna uchumba wa miaka 4 ni ubabaishaji. Halafu kama yeye amepanga alishindwa nini kuoa wakaendelea kuishi hapo wakimalizia nyumba? Haimaanishi huyo dada kapata mume Bora anaweza achwa baadae ila sio issue angalau alichagua mtu anayetaka kumuoa.