JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Hawa wanagombania MALAYA. Hakuna la maana hapo.Huyo mwanamke hana lolote,waacheni wafunge hiyo ndoa
Huyo dogo kaepushwa na balaa hilo,mwanamke hafai ni muongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wanagombania MALAYA. Hakuna la maana hapo.Huyo mwanamke hana lolote,waacheni wafunge hiyo ndoa
Huyo dogo kaepushwa na balaa hilo,mwanamke hafai ni muongo.
Dah! Jamaa huwez Amin alkua anamgharamia Yule mwanamke utadhan mke wake wa Ndoa.
Jamaa yangu Ni form four, ila alipambana kumlipia Ada mpaka binti uyu kamaliza chuo kikuu.
Kibaya Zaid ata hapo sheli anakofanya kazi uyu binti, jamaa ndo kamuunganisha na ndo mdhamini wake.
Binti kapangiwa nyumba nzima, anaishi kwa Raha Sana.
Jamaa alkua analipa kila kitu khs mahitaj yake yote ya nyumbani mpaka dharula za familia yake.
Gari anayotembelea kamnunulia uyu jamaa,
(Tena nilishiriki ipasavyo kwenye mchakato mzima wa kuiagiza mpak kuitia mkononi)
mafuta juzi juzi TU tunatoka gym alipitia she'll kumuwekea ya 350,000 kwa ajili ya mizunguko yake.nikishuhudia mwenyewe.
Mshahara anaolipwa sidhan hata Kama uwa anaugusa kabisa.
Kwakweli,
alichomfanyia jamaa Ni zaidi ya unyama[emoji26]
Mkuu, nikikwambia jamaa alkua ANAMPENDA Sana uyu mwanamke unapaswa kuniamini.Kwani michepuko hawafanyiwagi hayo?
Lakini naona harufu ya chumvi kidogo.
Umpangishie nyumba, umnunulie na gari, halafu usioe kisa unasubiri nyumba iishe....thubutuuu
Na hakuna binti wa hivyo akubali kuolewa mke wa pili, kisa ndoa tu?
Nina mashaka.
Mpaka sahivi MKE wangu hajaamini alikifanya wifi yake uyu mchumba wake na dogo.Hayo Mambo aliyofanyiwa umeyaona?
Ameshindwa kuvumilia Hadi mwakani Kama alivyoahidiwa kiufupi wanawake wengine hawanaga shukrani kabisa
Ushauri nimetoa kule juu kwakweli msipokuwa makini mtapata hasara two timesNawaza TU mkuu, ukinipa USHAUR Bora zaidi ntashkuru Sana[emoji17]
Cha msingiUshauri nimetoa kule juu kwakweli msipokuwa makini mtapata hasara two times
Sijawahi kuandika nyuzi za ovyo mkuu,Yap Kama chai hivi unajiuliza kwann ndani ya miaka hiyo minne asipate hata mtoto??
Hata hiyo reaction ya wazazi wake ya kutokumkubali kabisa jamaa na kumruhusu mtoto abadili na dini juu [emoji1][emoji1787]
Halafu hao wazazi hawakumuonya jamaa kuhusu kukaa mda mrefu bila kumuoa mtt wao ?? Kwamba walimpa jamaa kimya kimya ?
Hii kweli yaweza kua ni chai na karoti [emoji1787][emoji1787]
Hiyo gari ni Prado? Landcruiser? Nissan Patrol?Dah! Jamaa huwez Amin alkua anamgharamia Yule mwanamke utadhan mke wake wa Ndoa.
Jamaa yangu Ni form four, ila alipambana kumlipia Ada mpaka binti uyu kamaliza chuo kikuu.
Kibaya Zaid ata hapo sheli anakofanya kazi uyu binti, jamaa ndo kamuunganisha na ndo mdhamini wake.
Binti kapangiwa nyumba nzima, anaishi kwa Raha Sana.
Jamaa alkua analipa kila kitu khs mahitaj yake yote ya nyumbani mpaka dharula za familia yake.
Gari anayotembelea kamnunulia uyu jamaa,
(Tena nilishiriki ipasavyo kwenye mchakato mzima wa kuiagiza mpak kuitia mkononi)
mafuta juzi juzi TU tunatoka gym alipitia she'll kumuwekea ya 350,000 kwa ajili ya mizunguko yake.nikishuhudia mwenyewe.
Mshahara anaolipwa sidhan hata Kama uwa anaugusa kabisa.
Kwakweli,
alichomfanyia jamaa Ni zaidi ya unyama[emoji26]
Hii chai umeweka pilipili nyingi sana, wapelekee wahindiGari ipi, ya dogo au ya mwanamke?
Dogo alkua anatembelea prado 2014, mchumba wake alkua anatembelea vanguard
Alijaza ya kwake mafuta ya 200 akaacha kalipia na ya 150 kesho akipita wamjazie.sorry chief, gari ya aina gani hiyo imeingia mafuta ya 350,000? au ni lori!!!! [emoji1][emoji1]