Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

Update......
Mda huu shoga Ake katwambia Yuko kwao ila anaonekana Yuko normal kabisa anaendelea na shughuli zake.

Sisi huku tumeamua kuachana Naye, na dogo usiku wa Leo atalaa hapa hapa kwangu.

Kesho nayo tutaangalia tunaliwekaje.

Tunafikiria kuwahusisha wazazi wake dogo Ila tuone tunainusuru vipi hili suala, ila dogo kakataa kata kata hataki wazazi wake wajue chochote kinachoendelea.

Nawaza vitu vingi Sana,
Usingiz na uchovu wote umekata.

Sijui niamue lipi khs hili.
Tafuteni wazazi waa huyo mwanamke mjue ukweli na uhalisia.
 
Aisee nimesoma kama movie vile kumbe kweli, huyo dada hajamfanyia vizuri kabisa mwenzake yaani katema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa shauri yake, tena anaenda kuolewa mke wa pili kweli[emoji848] Aargh siku atakiona kisanga cha mke mkubwa ndiyo atakumbuka umuhimu wa kumvumilia mwenzie ili waje kuoana awe mke halali kwenye ndoa yake peke yake.

Ushauri mi naona huyo kaka aendelee tu na maisha yake, aachane na huyo binti hana msimamo na hana shukrani licha ya yote mazuri aliyofanyiwa, angekuja kumsumbua huko baadaye. Ni kipindi kigumu ila with time he will be fine. Mpeni company asikae mwenyewe asijekujidhuru.

Ila wewe dada wewe umeshindwa kuwa na huruma hata kidogo kwa mtoto wa mwanamke mwenzio[emoji119]
Ndoa tamu bhana cc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We muongo aiseee, gari gani ya kutembelea ina uwezo wa kuwa na tenki la mafuta ya kiasi cha 350k? Sawa na Lita 135? Muongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwambie asijiue aje nimpe raha za dunia hadi asahau kama aliwah kukutana na mwanamke mwingine. Ila atanilipa kwa kazi ya kumfanya amsahau huyu manzi wa awali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndiyo mkuu haya mambo watu wanayaongelea kijuujuu kwa sababu hawajayapitia. Huyo jama aliyeshauri hivyo unaweza kukuta hajawahi kuwa na mwanamke, ama ni muumini wa nyeto. Kwa hiyo vitu kama hivi kwake anaona kama tamthilia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya jua kali au huba?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maneno makali haya jaman, ila ndo ukweli.

Mtanisamehe ila nawafundisha vijana maisha halisi
Na uzee huu maneno kuntu ni kawaida yanakuja automatic [emoji23][emoji23]
 
Miaka 4 unakaa na mwanamke ambae anataka kuolewa wewe huendi kumuoa unategemea nini? Msela katokea mda mfupi kamuahidi ndoa na akafanya kweli.

Mwambie apige moyo konde mshkaji wako, next time akitaka mwanamke wa kumuoa asicheleweshe.
Kabisaaa yaan.
 
I wish I could be you!,
Mimi bado napenda kizamani aseheh!napenda halafu napenda tena na nkiwa na mtu nakua committed mpk najiogopa lakini ndo tunaongozwa kuumizwa...

Natamani wanangu wasirithi hii kitu waje kua waje kua wajanja wajanja tu!
Nikisema "I love you" jua mpk moyoni kabisaa...
Na nkiumia naumia nakonda kabisaa yaani mpk usingizi sipati nawaza...Ila ndo hua inakulaga kwetu.

I cab feel that boy yaani namuonea huruma sana hakuna kitu kigumu km psychological torture...!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo ujanja wote huu unateswa na mapenzi?
 
Kujifanyaga marafiki mpaka mnaunganisha family affairs zenu na wake/waume zenu matokeo yake huwa ndio kama haya...Jifanyen wazungu tu..HAPA STORI TU, KULA KILA MTU KWAKE.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah! Jamaa huwez Amin alkua anamgharamia Yule mwanamke utadhan mke wake wa Ndoa.

Jamaa yangu Ni form four, ila alipambana kumlipia Ada mpaka binti uyu kamaliza chuo kikuu.

Kibaya Zaid ata hapo sheli anakofanya kazi uyu binti, jamaa ndo kamuunganisha na ndo mdhamini wake.

Binti kapangiwa nyumba nzima, anaishi kwa Raha Sana.

Jamaa alkua analipa kila kitu khs mahitaj yake yote ya nyumbani mpaka dharula za familia yake.

Gari anayotembelea kamnunulia uyu jamaa,
(Tena nilishiriki ipasavyo kwenye mchakato mzima wa kuiagiza mpak kuitia mkononi)

mafuta juzi juzi TU tunatoka gym alipitia she'll kumuwekea ya 350,000 kwa ajili ya mizunguko yake.nikishuhudia mwenyewe.

Mshahara anaolipwa sidhan hata Kama uwa anaugusa kabisa.

Kwakweli,
alichomfanyia jamaa Ni zaidi ya unyama[emoji26]
Huyu huyo jamaa yako ni Boya
 
Unaweza kukuta anaridhishwa kwenye ile sekta nyeti Mana kuna watu wazima sio haba wanajua anatakiwa afanye nini plus maexperience kibao kampagawisha bidada.
Labda dogo alikuwa anagusa gusa tu akaona anazingua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom