Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
historia hii ipo kwenye hifadhi ya wajeremani hadi kesho. mkataba wa mauziano wanao. hivyo hivyo na pwani yote hadi mombasa.
hata ninyi hapo mnaishi sio penu basi ni pa sultan. waingereza walichukua hii nchi toka kwa wajerumani baada ya kushindwa vita ya pili ya dunia, na sisi tukaipokea toka kwa waingereza kwa kupata uhuru. wakati huo ninyi bado mlikuwa watumwa wa sultan hadi miaka 2 baadaye.sasa waliuziwa wajerumani na sio nyinyi watanganyika.
hata ninyi hapo mnaishi sio penu basi ni pa sultan. waingereza walichukua hii nchi toka kwa wajerumani baada ya kushindwa vita ya pili ya dunia, na sisi tukaipokea toka kwa waingereza kwa kupata uhuru. wakati huo ninyi bado mlikuwa watumwa wa sultan hadi miaka 2 baadaye.
Yani Mwarabu aje kumiliki Ardhi Africa na wewe upuuzi huu una kuingia akili ni?ukanda wote huo wa pwani hadi Mafia kwa kwenda baharini, mwarabu alimuuzia Mjeremani ikawa Dutch east africa. ndio maana hadi leo kimebaki kuwa bara.
Wapemba mnawasema sio wazanzibar Kwasababu ni weupe ndio ije kuwa sultan?Sultan ni mzanzibari kama wazanzibari wa sasa. Kwahiyo cha Sultan ndicho cha wazanzibari.
Katumwa huyo,aje atingishe kiberiti!kuna mbuzi moja inaongea itv sasaivi anasema ukanda wa pwani ilikuwa mali ya zanzibar, bila kujua kuwa sulatan aliuza kwa wajerumani, hadi visiwa vya Mafia vikauzwa kwa mjerumani yeye akabaki na visiwa vile wanavyomiliki sasaivi wazenji tu. jamaa ana sura ya kiarabu fulani hivi. kama kuongea muungano waongee tu ila waache kuleta sera za uongo kwamba kuna maeneo bara ni ya kizazibar.
we unaongea nini, mbona huna akili? mwarabu aje afanye nini sasa hapa?Katumwa huyo,aje atingishe kiberiti!
Hivi ile mikoa yenye Islam wengi,ikitakiwa iwe sehemu ya Saudis Kuna Islam atakataa.
siyo muarabu aliyemuuzia mjerumani bali mjerumani walibadilishana na muingereza kwa kisiwa kimoja (heligoland treaty kama sikosei)ukanda wote huo wa pwani hadi Mafia kwa kwenda baharini, mwarabu alimuuzia Mjeremani ikawa Dutch east africa. ndio maana hadi leo kimebaki kuwa bara.
Kumbesiyo muarabu aliyemuuzia mjerumani bali mjerumani walibadilishana na muingereza kwa kisiwa kimoja (heligoland treaty kama sikosei)
The Heligoland–Zanzibar Treaty (German: Helgoland-Sansibar-Vertrag; also known as the Anglo-German Agreement of 1890) was an agreement signed on 1 July 1890 between the German Empire and the United Kingdom.Kumbe
Yaani ukitaka kuangalia yaliyomo kwenye Heligoland Treaty ya 1890 inahusisha Malawi, Zanzibar kisiwa cha Heligoland kilichopo karibu na Germany ambacho kilikuwa mali ya Denmark kabla Uingereza haijakimiliki. Haya mambo yabaki kama yalivyo. You can't UNDO themsiyo muarabu aliyemuuzia mjerumani bali mjerumani walibadilishana na muingereza kwa kisiwa kimoja (heligoland treaty kama sikosei)
In Ccm Voice Japo Nao Wamechoka Wanataka Uvunjike Muda WowoteMuungano tutaulinda kwa gharama zote.