Jamaa "aokota" mwanamke ombaomba mtaani, amuogesha, atangaza ndoa

Ndio ujue hizi pisi hazinaga shukurani, Utasikia baada ya Mwaka tu MKE kacheat na Jirani au House boy
 
Hata humu JF kuna jamaa aliokota mwanamke ombaomba akiwa anaomba kwenye mataa akaenda nae kwake, sijui iliendelea vipi ile stori [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Jambo la kushangaza kuhusu human behaviour, huyu mwanamke baadae anaweza saliti ndoa au hata kuomba talaka. Ni jambo la kiubinadamu mtu kukubali jambo fulani kwa shinikizo la pesa au njaa. Akishatimiza haja zaka. Fikra zinakua huru na nafsi kuanza kuyatamani machaguo yake. Mungu awabariki ndoa njema!
 
Watu na story zao za ajabu sema alikutana nae akiwa mtoto akamlea, coz picha ya kwanza huyo ni mtoto hata nyonyo hana. Sasa mnaleta story as if alikutaba nae wiki iliyopita.
 
Alaf baadae unasikia mwamba amesalitiwa na demu,
Kesi za mauaji ziwe na exception kwakwel [emoji3][emoji3]
 
Rekebisha hilo bandiko lako. AMEOKOTA! Amemsaidia asie jiweza kujikim kimaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…