Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
[emoji23] kwani wewe ni mchawi?
Haihitaji kuwa mchawi kutabiri hili, ogopa sana binti wa 'kuokotwa' akichangamka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] kwani wewe ni mchawi?
Au siyo!?Swali ni, Je, watu wangapi wameshachezea hii "takataka " mpaka wewe uje uiokote uiweke ndani kama Mke?
Jamani, Mke, ni chombo cha heshima. Mke siyo takataka ya kuokota jalalani au mitaani. Mimi mtanisamehe kwakweli.
Khumbu je? wa konda msafiKwahiyo huyo msichana alikua ni mzma tuu wa afya alivyookotwa na jamaa?
Tatizo nn mpaka huyo bint mdogo aanze kuranda mtaani??
Nimelipenda hili jibuWatu wazima wameelewa.
Alaf baadae unasikia mwamba amesalitiwa na demu,Jamaa mmoja huko SA amebadilisha kabisa maisha ya mwanamke mmoja kijana---yaani kile ambacho wazungu wanaita u-turn. Alikutana na mwanamke huyo mtaani akiwa mchafumchafu akamuomba rand 50 kwani alikuwa na njaa sana.
Badala ya kumpa hela akale akambeba na kwenda naye nyumbani akamuogesha, akamlisha akamnunulia nguo nzurii!
Jitihada zake zikatokeza mwanamke mrembo sana. Jamaa akatangaza ndoa. Ndoa yao ni mwaka huu mwezi Mei.
======
The story was shared by a Facebook user who narrated how the couple met and added some pictures as well.
“He met her homeless and hungry in the streets. She asked him for R50 to buy food. He took her, cleaned and bought her new clothes. He searched for her relatives and ask them for a hand in marriage because she already said yes but he needed permission from her elders. 29 May 2021 they will be getting married. Their wedding is going to be very big.” He wrote.
Au tuje tusikie sijui SIYO TYPE YANGU SIJUI VIDUDU GANII..!!Afu baadae tusikie mtu kachomwa na gunia la mkaa, kisa wivu sijui vininii...mhuu!!!
Rekebisha hilo bandiko lako. AMEOKOTA! Amemsaidia asie jiweza kujikim kimaisha.Jamaa mmoja huko SA amebadilisha kabisa maisha ya mwanamke mmoja kijana---yaani kile ambacho wazungu wanaita u-turn. Alikutana na mwanamke huyo mtaani akiwa mchafumchafu akamuomba rand 50 kwani alikuwa na njaa sana.