Jamaa kamtengeneza mke wake popote atakapotongozwa usiku akipandisha maruhani anasimulia yote

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Dunia simama, nina jama yangu mtu wa Mtwara ila amekulia Morogoro, basi katika stori mbili tatu akanisimulia jinsi alivyomtengeneza mke wake hata atongozwe na nani usiku wakati akiwa amelala atasema yote.

Sasa nikamuuliza anaseaje? Akaniambia wakati akiwa amelaa ndipo maruhani umpanda kisha kuanza kusimulia mkanda mzima ulivyokuwa siku hiyo.

Yaani atasema kila kitu jamaa alivyokuwa anatupa ndoano, maneno yote alyosema jamaaa atasema, na jinsi yeye alivyokuwa akimjibu atasema, kama alimkubalia atasema.

Kuna clip alimrekodi wakati akiwa amelala kidume kinatupa voko mke wa jamaa anamkatalia katu katu, niache bwana mimi nimeolewa mume wangu mkali 🤣🤣🤣

Yaani huyu mke anatoa sauti mbili ya kwake na yule mtongozaji wanakuwa wanabishana.

Nyie hii dunia ina mambo.
 
Kuna anachokitafuta huyo.

Kwani ipo siku atasikia habari zaidi ya hizo za kutong*zwa ambazo zitamfanya ajutie hicho alichokifanya na si ajabu akachukua maamuzi yatakayo mgharimu na asiamini.
 
Dunia simama, nina jama yangu mtu wa mtwara ila amekulia morogoro, basi katika stori mbili tatu akanisimulia jinsi alivyomtengeneza mke wake hata atongozwe na nani usiku wakati akiwa amelala atasema yote.

Sasa nikamuuliza anaseaje? Akaniambia wakati akiwa amelaa ndipo maruhani umpanda kisha kuanza kusimulia mkanda mzima ulivyokuwa siku hiyo.

Yaani atasema kila kitu jamaa alivyokuwa anatupa ndoano, maneno yote alyosema jamaaa atasema, na jinsi yeye alivyokuwa akimjibu atasema, kama alimkubalia atasema.

Kuna clip alimrekodi wakati akiwa amelala kidume kinatupa voko mke wa jamaa anamkatalia katu katu, niache bwana mimi nimeolewa mume wangu mkali 🤣🤣🤣

Yaani huyu mke anatoa sauti mbili ya kwake na yule mtongozaji wanakuwa wanabishana.

Nyie hii dunia ina mambo.

Haya ndo maisha? Nafikiri hawa jamaa wa kataa ndoa mnawapa uhalali sasa wa agenda yao...

Kuliko kumuingilia mtu uhuru kwa kiwango hichi ni bora kukaa bila kuoa
 
Ndoa siyo lelemama mzee embu keti siku moja na wazazi wako wakuadisie changamoto walizokutana nazo.

Vijana wa sasa changamoto za ndoa hawaziwezi.
 
Dunia simama, nina jama yangu mtu wa mtwara ila amekulia morogoro, basi katika stori mbili tatu akanisimulia jinsi alivyomtengeneza mke wake hata atongozwe na nani usiku wakati akiwa amelala atasema yote.

Sasa nikamuuliza anaseaje? Akaniambia wakati akiwa amelaa ndipo maruhani umpanda kisha kuanza kusimulia mkanda mzima ulivyokuwa siku hiyo.

Yaani atasema kila kitu jamaa alivyokuwa anatupa ndoano, maneno yote alyosema jamaaa atasema, na jinsi yeye alivyokuwa akimjibu atasema, kama alimkubalia atasema.

Kuna clip alimrekodi wakati akiwa amelala kidume kinatupa voko mke wa jamaa anamkatalia katu katu, niache bwana mimi nimeolewa mume wangu mkali 🤣🤣🤣

Yaani huyu mke anatoa sauti mbili ya kwake na yule mtongozaji wanakuwa wanabishana.

Nyie hii dunia ina mambo.
Jamaa kamtia mke wake AntiVirus...Safi sana...maaan hali mbaya
 
Alimkuta bikra? Badala ya kuwaza kupata pesa yeye anakesha usiku kusubiria maruhani yapande asikikize yaliyojiri mchana!!

Au mleta mada umeleta tangazo la biashara?
Ndio mkuu alitoa seal, kwa maelezo yake
 
Dunia simama, nina jama yangu mtu wa mtwara ila amekulia morogoro, basi katika stori mbili tatu akanisimulia jinsi alivyomtengeneza mke wake hata atongozwe na nani usiku wakati akiwa amelala atasema yote.

Sasa nikamuuliza anaseaje? Akaniambia wakati akiwa amelaa ndipo maruhani umpanda kisha kuanza kusimulia mkanda mzima ulivyokuwa siku hiyo.

Yaani atasema kila kitu jamaa alivyokuwa anatupa ndoano, maneno yote alyosema jamaaa atasema, na jinsi yeye alivyokuwa akimjibu atasema, kama alimkubalia atasema.

Kuna clip alimrekodi wakati akiwa amelala kidume kinatupa voko mke wa jamaa anamkatalia katu katu, niache bwana mimi nimeolewa mume wangu mkali 🤣🤣🤣

Yaani huyu mke anatoa sauti mbili ya kwake na yule mtongozaji wanakuwa wanabishana.

Nyie hii dunia ina mambo.
Hongera kwa kumtengeneza mkeo. Enhe sasa ukishajua inakuwaje mkuu
 
Ndoa siyo lelemama mzee embu keti siku moja na wazazi wako wakuadisie changamoto walizokutana nazo.

Vijana wa sasa changamoto za ndoa hawaziwezi.

Nina 18 years, kama haifai haifai
 
Back
Top Bottom