Dunia simama, nina jama yangu mtu wa mtwara ila amekulia morogoro, basi katika stori mbili tatu akanisimulia jinsi alivyomtengeneza mke wake hata atongozwe na nani usiku wakati akiwa amelala atasema yote.
Sasa nikamuuliza anaseaje? Akaniambia wakati akiwa amelaa ndipo maruhani umpanda kisha kuanza kusimulia mkanda mzima ulivyokuwa siku hiyo.
Yaani atasema kila kitu jamaa alivyokuwa anatupa ndoano, maneno yote alyosema jamaaa atasema, na jinsi yeye alivyokuwa akimjibu atasema, kama alimkubalia atasema.
Kuna clip alimrekodi wakati akiwa amelala kidume kinatupa voko mke wa jamaa anamkatalia katu katu, niache bwana mimi nimeolewa mume wangu mkali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani huyu mke anatoa sauti mbili ya kwake na yule mtongozaji wanakuwa wanabishana.
Nyie hii dunia ina mambo.