Jamaa kamtengeneza mke wake popote atakapotongozwa usiku akipandisha maruhani anasimulia yote

Kwenye haya maisha, kila mtu na formula zake. Kama jamaa yako kaona hiyo ndio inafaa, akazie hapo hapo 😅😅😅😅
 
Ulimbukeni wa mbususu ni hatari kwa afya ya akili.
 
Kuna anachokitafuta huyo.

Kwani ipo siku atasikia habari zaidi ya hizo za kutong*zwa ambazo zitamfanya ajutie hicho alichokifanya na si ajabu akachukua maamuzi yatakayo mgharimu na asiamini.
Mbona kama imekuuma 😂😂😂
 
Sasa nikamuuliza anaseaje? Akaniambia wakati akiwa amelaa ndipo maruhani umpanda kisha kuanza kusimulia mkanda mzima ulivyokuwa siku hiyo.
Kwahiyo ameoa mke na maruhani anayatunza ...why keep a cow if you can buy a cup of milk?
 
Haya ndo maisha? Nafikiri hawa jamaa wa kataa ndoa mnawapa uhalali sasa wa agenda yao...

Kuliko kumuingilia mtu uhuru kwa kiwango hichi ni bora kukaa bila kuoa
NAKAZIA.
 
Kunajamaa alitaka kunipa hii dawa jikaikataa, nlikuwa nataka ile ya kunasiana akasema hana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…