Jamaa kamtengeneza mke wake popote atakapotongozwa usiku akipandisha maruhani anasimulia yote

Huyo Ke alishaliwa, atakuwa analiwa na ataliwa sana tu na huyo aliyemshauri huo ujinga.

Shuhudia mwenyewe wanavyoliwaga kimasihara hao viumbe wakifika huko kwa mawakala wa shetani [emoji116][emoji116][emoji116]
 
Watoto wa mjini wanadukua simu.
Wasambaa na wazigua wanatega usinga. Hii tego haikopeshi na hufi kesho, Ni Leo Leo.
Wahuni wanakutega huku wanamafuta ya mgando. The choice is yours, mke wa MTU Ni sumu.
 
Kunajamaa alitaka kunipa hii dawa jikaikataa, nlikuwa nataka ile ya kunasiana akasema hana
Wakinasiana si watoto wako watamuona mama Yao akiwa wamenasana na MTU. Hiyo sio nzuri watoto wakiona au kusikia.
 
Haya ndo maisha? Nafikiri hawa jamaa wa kataa ndoa mnawapa uhalali sasa wa agenda yao...

Kuliko kumuingilia mtu uhuru kwa kiwango hichi ni bora kukaa bila kuoa
Kataa ndoa,
Ndoa ni utumwa,
Ndoa ni dhulma,
Ndoa ni maigizo,
Ndoa ni ukatili,
Ndoa ni wizi,
Ndoa ni utapeli,
Ndoa ni ubabaishaji,
Ndoa ni Uonevu,


Huyo Stori inaingia hapo kwenye ndoa ni ukatili, na ndoa ni uonevu
 
Huo uchawi aisee hauna tofauti na mobile trackeršŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…