sasa wee jamaaa papa na nyangumi wanaishi majini hivyo mvua ilipokuja walienjoy zaidi...Story ya Safina inasema Nuhu aliwaweka Wanyama wote duniani ndani ya Safina.
Swali?
Simba Na swala wanaweza kukaa sehemu moja hata Kwa lisaa limoja Tu achilia Mbali mwezi mzima?
Binadamu Na Simba? Binadamu Na nyoka? Kukaa sehemu moja ya wazi inawezekanaje jamani?
Vipi kuhusu Wanyama wadogo ambao life span yao ni wiki Moja au mwezi mmoja?
Vipi kuhusu Wanyama wa baharini kama nyangumi na papa?
mbna kuna video niliona mtandaoni SIMBA na mtoto wa swala wakiwa pamoja wanatembea ilichukuliwa mbuga ya serengetiWatakuambia kwa uwezo wa Mungu inawezekana.
Hili nalo swali?Vipi kuhusu Wanyama wa baharini kama nyangumi na papa?
Simba mara nyingi tu anakula mama swala au nyumbu halafu haui mtoto tena anaweza ku hang nae kama mwanae tumbna kuna video niliona mtandaoni SIMBA na mtoto wa swala wakiwa pamoja wanatembea ilichukuliwa mbuga ya serengeti
So ni vitu ambavyo inawezekana
Maybe laba wataniambia ni edited
Wainjilist na wateule wa bwana njooni mjibu ila muache kutuambia Kila jambo linawezekanaStory ya Safina inasema Nuhu aliwaweka Wanyama wote duniani ndani ya Safina.
Swali?
Simba Na suala wanaweza kukaa sehemu moja hata kwa lsaa moja Tu achilia Mbali mwezi mzima?
Binadamu Na Simba? Binadamu Na nyoka? Kukaa sehemu moja ya wazi inawezekanaje jamani?
Vipi kuhusu Wanyama wadogo ambao life span yao ni wiki Moja au mwezi mmoja?
Vipi kuhusu Wanyama wa baharini kama nyangumi na papa?
Inaposemwa kwamba Mungu AKASEMA usifikiri alikuwa anatamka halafu vitu vinatokea kama mazingaombwe.Hapo MWANZO: 1
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru
21 Mungu akaumba nyangumi wakubwa, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho, ambavyo maji yalijawa navyo kwa wingi kwa jinsi zao, na kila ndege arukaye, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
24 Mungu akasema, Nchi na izae kiumbe hai kwa jinsi zake, mnyama wa kufugwa, nacho kitambaacho, na wanyama wa mwitu kwa jinsi zake; ikawa hivyo.
Zingatia hizo Mungu akasema , yani Mungu akasema!!
Iyo stori ni scam
VeryStory zingine zinadai Nuhu hakuwa muokoaji,ila mleta janga
Eti alipoona watu awafuati mafundisho,akaomba kwa Mungu alete mafuriko kuwaangamiza
Very interesting mkuu hebu funguka Kwa kirefu tujifunze kitu kipyaStory zingine zinadai Nuhu hakuwa muokoaji,ila mleta janga
Eti alipoona watu awafuati mafundisho,akaomba kwa Mungu alete mafuriko kuwaangamiza