Mkuu kwani mahusiano ya Nuhu na wanyama kipindi hicho ni sawa na leo, afterall wanyama waliopo leo si wale waliokuwepo enzi za nuhu.......ndo maana zamani kulikuwepo wanyama wakubwa wakiitwa dinosaurs. Halafu kama Mungu alipanga hilo jambo liwe hivyo ni nani sasa wa kumzuia ili hali yeye ana mamlaka kwa viumbe wote.Story ya Safina inasema Nuhu aliwaweka Wanyama wote duniani ndani ya Safina.
Swali?
Simba Na suala wanaweza kukaa sehemu moja hata kwa lsaa moja Tu achilia Mbali mwezi mzima?
Binadamu Na Simba? Binadamu Na nyoka? Kukaa sehemu moja ya wazi inawezekanaje jamani?
Vipi kuhusu Wanyama wadogo ambao life span yao ni wiki Moja au mwezi mmoja?
Vipi kuhusu Wanyama wa baharini kama nyangumi na papa?