JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Ambacho mnashindwa kuelewa,ni kuwa hiyo project ilisimamiwa na Mungu mwenyewe,Nuhu alipewa maagizo tu,Story ya Safina inasema Nuhu aliwaweka Wanyama wote duniani ndani ya Safina.
Swali?
Simba Na suala wanaweza kukaa sehemu moja hata kwa lsaa moja Tu achilia Mbali mwezi mzima?
Binadamu Na Simba? Binadamu Na nyoka? Kukaa sehemu moja ya wazi inawezekanaje jamani?
Vipi kuhusu Wanyama wadogo ambao life span yao ni wiki Moja au mwezi mmoja?
Vipi kuhusu Wanyama wa baharini kama nyangumi na papa?
Plan nzima,master plan,ilipangwa na Muumba,Kings of kings.
Kwani hamkumbuki Izaack,abernego walipotupwa kwenye shimo la Simba wenye njaa,na Wala hawakupata madhara yoyote