Jamaa kauliza swali la kufikirisha kuhusu Safina ya Nuhu.

Ambacho mnashindwa kuelewa,ni kuwa hiyo project ilisimamiwa na Mungu mwenyewe,Nuhu alipewa maagizo tu,
Plan nzima,master plan,ilipangwa na Muumba,Kings of kings.
Kwani hamkumbuki Izaack,abernego walipotupwa kwenye shimo la Simba wenye njaa,na Wala hawakupata madhara yoyote
 
Leave Pi as Pi....,

Issue nyingine havitakiwi viendane na logic..., wewe ukiamua kumeza meza mazima mazima...., if you put logic au ask questions utajikuta unaombewa au kuondolewa mapepo...

Sad Indeed.....
 
Ni kweli kabisa.
Kuna watu wanataka kukacha imani zao kwa sababu ya fikra zao za kibinadamu.
Kila jambo linawezekana.
Mungu yupo na uwezo wake wa uumbaji pia upo na hatuutilii shaka hata kidogo.
Amri zake ziko na nyingi na wala tusizitilie shaka
 
Leave Pi as Pi. Out context up...,

Issue nyingine havitakiwi viendane na logic..., wewe ukiamua kumeza meza mazima mazima...., if you put logic au ask questions utajikuta unaombewa au kuondolewa mapepo...

Sad Indeed.....
Ohooo mmeanza vitisho
 
Je nuhu alitumia usafiri gani kuzunguka dunia nzima kukusanya hao wanyama?

Hadi Australia kukusanya kangaroos, Afrika kukusay Simba, swala n.k, huko Americas kukusanya puma n.k?

Vipi kuhusu wadudu kama vile sisimizi, siafu, mchwa, nyuki n.k? Alitumia muda gani kuwakusanya wote?
 
Aliweka wanyama wote duniani au baadhi ya wanyama?(sehemu waliyopo wao) kwani yale mafuriko yalikuwa ni dunia nzima? mungu si ameandika kuwa adhabu inawapata wahusika tu, mfano kipindi cha sodoma na gomora ukisoma historia kulikuwa na mji mwingine, wakati nabii lut yupo nabii ibrahim alikuwepo, walikuwa miji tofauti.Adhabu iliwakuta watu wa lut tu, mji wa ibrahim haukudhulika

Hivyo naimani adhabu ilikuwa sehemu ndogo ya dunia(mji aliokuwepo nuhu tu). so inawezekana kukusanya hao wanyama.
 
Bravo
 
Kiranga
 
Lakini Nuhu atakuwa alifanya kazi ya ziada, imagine, aliwasaka mpaka viroboto, utitiri, chawa and the like
 
Wanyama wa majini sidhani kama waliingia kwenye safina koz asili yao ni maji.
 
Kuhusu nyangumi na viunbe wengine wa baharini wanaweza kuhimilili maji kwa uwezo mkubwa. Vilevile safina ilikiwa kubwa, yenye partition za kutosha. Kila kiumbe alikaa sehemu anayostahili na wenye lifespan ndogo walikuwa wanendelea kuzaliana. Mungu siyo binadamu, Mungu siyo mtu, ukitafakari habari zake hautafikia mwisho. Uwezo wake hauna mwisho akiamua huwezi pinga
 
Lakini Nuhu atakuwa alifanya kazi ya ziada, imagine, aliwasaka mpaka viroboto, utitiri, chawa and the like
🤣🤣🤣🤣 Fala Sana we jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…