Jamaa kauliza swali la kufikirisha kuhusu Safina ya Nuhu.

Mkuu ipo hivi binaadamu hakuanza kupata akili leo kama ushawahi kutembelea kwenye maonyesho ya wanyama utajua “ yanatengenezwa mabanda ya machuma wanyama wakali wanafungiwa kwenye vilinge vyao.. Kama simba na wengine..na wale ambao sio wakali unapishana nao kama tausi na wengineo .. wewe unataka uambiwe kila kitu kwenye hivyo vitabu wewe umekuwa nan? Jiongeze Mzee
 
Kuhusa wanyama wa baharini...hawa kuwekwa kwenye safina kwa sababu mungu alijua ata angamiza dunia kwa maji..hivyo samaki aki wekewa maji mengi afiii bali ana ishiii...
 
Mimi uwa najifikiria ety samaki na wenzie wa majini wanaingizwa kwenye safina kukimbia maji.😬😬
 
Reactions: BRB
Kuhusa wanyama wa baharini...hawa kuwekwa kwenye safina kwa sababu mungu alijua ata angamiza dunia kwa maji..hivyo samaki aki wekewa maji mengi afiii bali ana ishiii...
Nimewaza tu, Samaki wa maji chumvi akikutana na maji baridi itakuwaje? au wa maji majirid akutana na maji chumvi,

au wakute maji yaliyo kuwa diluted itakuwaje . May be Ndio reasona hapo ya kuwatoa huko

But sehem ya kufurahisha, aliingizaje Nyangumi? na natural habitat yake aliwekaje ktk Safina?
 
Sasa kama Wayashuhudia yote Haya, yanini Kushangaa Simba Kukaa Sehemu Moja na Swala ?
Umesema Mungu akitoa AMRI lazima itekelezwe
 
Sasa kama Wayashuhudia yote Haya, yanini Kushangaa Simba Kukaa Sehemu Moja na Swala ?
Umesema Mungu akitoa AMRI lazima itekelezwe
Soma Tena komenti yangu vizuri. Amri za Mungu zinaendana na kanuni alizo ziweka yeye mwenyewe. Ndio maana Mungu hawezi kutoa amri watoto wenye mwezi mmoja watembee, waongee, waoane etc
 
Simba mara nyingi tu anakula mama swala au nyumbu halafu haui mtoto tena anaweza ku hang nae kama mwanae tu
Ni kweli kabisa kuhusu hilo hata paka mwenye malengo hali panya mwenye mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…