Jamaa Kila akifunga shop anaweka PESA bank na kuxitoa KWENYE ATM siku hiyo hiyo

Jamaa Kila akifunga shop anaweka PESA bank na kuxitoa KWENYE ATM siku hiyo hiyo

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
4,031
Reaction score
6,156
Nilivyomuuliza huoni unapoteza fedha nyingi Kwa MAKATO akasema lengo lake ni kuchukua noti mpya akatunze home.

Ilikuwa kicheko na masikitiko.

Basi namkumbuka Rafaeli, Tukalewa Tukalewa tukalewaaaa..... Mbege ya kibosho
 
IMG_20260404_224850.jpg

Mimi huyu na Hata najua basi
 
Account ya benki ikiwa na balance kubwa huwezi kuyajua makato

Ukiwa na account ya kawaida kabisa ya savings, kila mwisho wa mwezi unalamba interest ya asilimia 0.09%

kama account ina shilingi milioni 25, mwisho wa mwezi unaingiziwa elf 22

Makato ya ATM yakiwa shilingi 600 na unatoa kila siku basi utagharamika elf 18 kwa mwezi

Kinachobaki ni elf 4

Raha ya account uwe na balance nzuri, huwezi kamwe kuyajua makato
 
Basi wale wanaume nikaona wamebeba mawe
Wakataka wamponde nayo Massawe
Basi Rafaeli akamrukia teke mmoja wao akamwangusha palepale! (Mungu wangu!)
Akataka akimbie... hajafika mbali akakamatwa na nani...?
Na yule afande Chale.
Asa mi nikamwambia afande Chale....
Niko hapa Lyamungo Sinde nakunywa mbege haielezeki!
 
Nilivyomuuliza huoni unapoteza fedha nyingi Kwa MAKATO akasema lengo lake ni kuchukua noti mpya akatunze home.

Ilikuwa kicheko na masikitiko.

Basi namkumbuka Rafaeli, Tukalewa Tukalewa tukalewaaaa..... Mbege ya kibosho
Nafikiri ni ishu ya kutengeneza bank statement
 
Back
Top Bottom