Jamaa wa Iran kanikaribisha nikatalii nchini kwao akisema nikiwa na Usd 100 nitaishi kama mfalme

Lakini kwanini ninyi ni watu wa shari sana?
Mbona jamaa aneuliza swali zuri tu?

Je unajua usd 1=42,350 Iranian rial?
Hao jamaa wanawashwa sana. Kwenye thread ya Iran kutaka kulipua Mecca na Medina walisema Iran ni shia na sio waislamu lakini hapa wanawashwa na dini.
 
Iran mafuta walianza kuchimba waingereza kwahiyo sioni kama wanaweza wao wenyewe.. pia uhalisia ni kwamba Iran maisha ni magumu sana na kinachowapa ahueni kidogo ni kwasababu wanachimba mafuta hawategemei kuagiza. Kwenye silaha wanasaidiwa sana na russia na north Korea kiteknolojoa.
 
Hiyo ni pesa ndogo mbona, kama tsh 1.1 trillion hivi. Kwa nchi sio hela nyingi sana kwasababu hapo hata cost of production hujaiweka.
 
Wewe nawe una kiherehere sana. Huoni umuhimu wa hilo swali? Akili yako ipeleke gereji maana itakuwa imejazwa aya za ujingaujinga.
I can't argue with the fool.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…