Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙄Mimi nimeuliza swali wewe unasema nimeponda, una tatizo gani?
Oops kumbe Iran ina hali mbaya hivyo?Ni kweli mkuu
Usd1=42,350.00 Iranian rial
Hao jamaa wanawashwa sana. Kwenye thread ya Iran kutaka kulipua Mecca na Medina walisema Iran ni shia na sio waislamu lakini hapa wanawashwa na dini.Lakini kwanini ninyi ni watu wa shari sana?
Mbona jamaa aneuliza swali zuri tu?
Je unajua usd 1=42,350 Iranian rial?
Acha kuwa na prejudices. Zingatia kinachoulizwa.Huyo sisi ndio tunamjua,lengo la thd yake sio kabisa kama ulivyoelewa wewe,wala haihitaji akili kubwa kutambua lengo la mleta mada.
Iran mafuta walianza kuchimba waingereza kwahiyo sioni kama wanaweza wao wenyewe.. pia uhalisia ni kwamba Iran maisha ni magumu sana na kinachowapa ahueni kidogo ni kwasababu wanachimba mafuta hawategemei kuagiza. Kwenye silaha wanasaidiwa sana na russia na north Korea kiteknolojoa.Uchizi ulio nao ni mkubwa kupitiliza
Nchi iliyo wekewa vikwazo kwa zaidi ya miaka 50 lakini bado inajimudu
Haijaja kwako kukuomba chochote kile
Unakurupuka kuongea utumbo
Na kama unaona dollar inathamani kubwa kwako kaa na hao mabwana zako miaka yote lakini hamtaweza iangusha ile nchi
Mbwe nyinyi
Wewe upo kwenye nchi kila kitu inategemea wawekezaji kutoka nje pesa za kigeni na mengineyo na bado
Wasomi wenyewe mlio nao ni watu wa copy and paste. Bado ujadili utaikomboa nchi yako inayo kufanya uwe zuzu katika elimu unawajadili walio kuzidi katika elimu na fikra
Huo ni uzezeta
Jaribu kukaa na vidoller vyako mia kule
Kama ujatafuta bwana wa kukusaidia
Kenge wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni pesa ndogo mbona, kama tsh 1.1 trillion hivi. Kwa nchi sio hela nyingi sana kwasababu hapo hata cost of production hujaiweka.Kamikaze drone 1 ya Iran inauzwa 20k Usd sawa na 46,000,000Tsh. Na wameiuzia Urusi kamikaze 2,400 mpaka sasa. Piga mahesabu kwa hii deal ndogo Iran wana kiasi gani mfukoni hadi wawe na maisha magumu. Bado hawajauza Missiles na hatujaweka hesabu ya barrels za mafuta karibu 1m kwa siku. Iran sio Sanya juu
Sijui kwanini wavaa kobaz wanapigwa chenga na elim dunya.Thamani ya pesa haihusiani na uchumi mkuu.
Hizi ni deficit za uagizaji wa mafuta kwa iran na iraq.
Hizi kauli zinaidhalilisha Iran.Nenda ukaolewe
I can't argue with the fool.Wewe nawe una kiherehere sana. Huoni umuhimu wa hilo swali? Akili yako ipeleke gereji maana itakuwa imejazwa aya za ujingaujinga.
Wewe kiazi pita kushoto,unafikiri multiple IDs zako hazijulikani sio?Acha kuwa na prejudices. Zingatia kinachoulizwa.
Kwa kawaida mwanadamu anamtuhumu mwenzake kwenye mambo ambayo yeye mwenyewe yuko guilty.Wewe kiazi pita kushoto,unafikiri multiple IDs zako hazijulikani sio?