Jamaa wa Iran kanikaribisha nikatalii nchini kwao akisema nikiwa na Usd 100 nitaishi kama mfalme

Jamaa wa Iran kanikaribisha nikatalii nchini kwao akisema nikiwa na Usd 100 nitaishi kama mfalme

Lakini kwanini ninyi ni watu wa shari sana?
Mbona jamaa aneuliza swali zuri tu?

Je unajua usd 1=42,350 Iranian rial?
Hao jamaa wanawashwa sana. Kwenye thread ya Iran kutaka kulipua Mecca na Medina walisema Iran ni shia na sio waislamu lakini hapa wanawashwa na dini.
 
Uchizi ulio nao ni mkubwa kupitiliza
Nchi iliyo wekewa vikwazo kwa zaidi ya miaka 50 lakini bado inajimudu

Haijaja kwako kukuomba chochote kile
Unakurupuka kuongea utumbo

Na kama unaona dollar inathamani kubwa kwako kaa na hao mabwana zako miaka yote lakini hamtaweza iangusha ile nchi
Mbwe nyinyi

Wewe upo kwenye nchi kila kitu inategemea wawekezaji kutoka nje pesa za kigeni na mengineyo na bado

Wasomi wenyewe mlio nao ni watu wa copy and paste. Bado ujadili utaikomboa nchi yako inayo kufanya uwe zuzu katika elimu unawajadili walio kuzidi katika elimu na fikra

Huo ni uzezeta

Jaribu kukaa na vidoller vyako mia kule

Kama ujatafuta bwana wa kukusaidia
Kenge wewe




Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Iran mafuta walianza kuchimba waingereza kwahiyo sioni kama wanaweza wao wenyewe.. pia uhalisia ni kwamba Iran maisha ni magumu sana na kinachowapa ahueni kidogo ni kwasababu wanachimba mafuta hawategemei kuagiza. Kwenye silaha wanasaidiwa sana na russia na north Korea kiteknolojoa.
 
Kamikaze drone 1 ya Iran inauzwa 20k Usd sawa na 46,000,000Tsh. Na wameiuzia Urusi kamikaze 2,400 mpaka sasa. Piga mahesabu kwa hii deal ndogo Iran wana kiasi gani mfukoni hadi wawe na maisha magumu. Bado hawajauza Missiles na hatujaweka hesabu ya barrels za mafuta karibu 1m kwa siku. Iran sio Sanya juu
Hiyo ni pesa ndogo mbona, kama tsh 1.1 trillion hivi. Kwa nchi sio hela nyingi sana kwasababu hapo hata cost of production hujaiweka.
 
Image
Hizi ni deficit za uagizaji wa mafuta kwa iran na iraq.
 
Back
Top Bottom