Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nenda ila usisahau kuleta mrejesho ukifka uko usikae kimya na sisi tunataka twendeNaomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Kiuchumi wale ni wa 28Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Mimi nimeuliza swali wewe unasema nimeponda, una tatizo gani?Huwa haukosi Cha kuiponda Iran eti maisha ya iran magumu km hyo Dola 100 hauwezi kuishi kifalme Tanzania ndio ukaishi Iran wakati uchumi wa Tanzania hata uuzidishe mara 20 hufiki iran
Da! AiseeWanaenda kukutoa figo au bandama watengeneze biological bomu la kumuuzia mrusi...
Utaishi kifalme ukiwa ndano ya bomu, maana akuna atakaye kugusa hovyo hovyo... si una fahamu mabomu huwa yana ishi kifalme
Kumbe unaweza kuwa ni mtego jamaa anautega?Wanaenda kukutoa figo au bandama watengeneze biological bomu la kumuuzia mrusi...
Utaishi kifalme ukiwa ndano ya bomu, maana akuna atakaye kugusa hovyo hovyo... si una fahamu mabomu huwa yana ishi kifalme
Mkuu mimi nimeuliza tu maana kuna jamaa amenikaribisha na wala sina nia hizo za waarabu na western people.Kwa wafatiliaji wa Uzi wa Vita Ukraine,
Tunajua wazi mtoa mada uko mlengo gani,
Na huu Uzi umeuanzisha Kwasababu zipi[emoji4]View attachment 2395515
Halafu utakuta taifa hilo saivi ndilo linaloisaidia silaha super power wa mchongo Russia, baada ya russia kuishiwa silaha miezi 7 tu kwenye ile waitayo operation kule UkrainNaomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Umesoma mada ukaielewa au umekimbilia kuweka komenti?Kwani kuna wa iran walitaka msaada kwako au unaanza kujipendekeza ili ujue njia za kufika huko.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ulicho kusudia tushafahamu kitambo tuUmesoma mada ukaielewa au umekimbilia kuweka komenti?