Jamaa wa Iran kanikaribisha nikatalii nchini kwao akisema nikiwa na Usd 100 nitaishi kama mfalme

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
 
mkuu nenda ila usisahau kuleta mrejesho ukifka uko usikae kimya na sisi tunataka twende
 
Kwa wafatiliaji wa Uzi wa Vita Ukraine,
Tunajua wazi mtoa mada uko mlengo gani,
Na huu Uzi umeuanzisha Kwasababu zipi[emoji4]
JamiiForums-1542976656.jpg
 
Wanaenda kukutoa figo au bandama watengeneze biological bomu la kumuuzia mrusi...

Utaishi kifalme ukiwa ndano ya bomu, maana akuna atakaye kugusa hovyo hovyo... si una fahamu mabomu huwa yana ishi kifalme
Kumbe unaweza kuwa ni mtego jamaa anautega?
 
Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Halafu utakuta taifa hilo saivi ndilo linaloisaidia silaha super power wa mchongo Russia, baada ya russia kuishiwa silaha miezi 7 tu kwenye ile waitayo operation kule Ukrain
 
Back
Top Bottom