Jamaa wa Iran kanikaribisha nikatalii nchini kwao akisema nikiwa na Usd 100 nitaishi kama mfalme

Wewe choko una uanaume gani kiazi wewe? Mwanaume hawezi kua na akili inayowaza kukashifu udini tu,halafu hicho ki id fake kisikupe kiburi sana.
Nyie watoto mmefundishwa vitisho madrassa huko mnaanza kuvileta na huku. Inaonesha shehe alikunajisi utotoni maana unawashwa sana.
 
Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Hili jukwaa limekuwa halina hadhi tena ya kuitwa la KIMATAIFA!!!!!!
limekuwa ni chit chat forum!!!!
Tafadhalini Mods lifanyieni kazi.
Paw.
Moderator
Active
Cookie
 
Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Iran imebakia kidogo ipigwe mnada. Ukifika na dola 100 za kimarekani hata ayatollah atakuja uwanja wa ndege kukupokea.
 
Huwa haukosi Cha kuiponda Iran eti maisha ya iran magumu km hyo Dola 100 hauwezi kuishi kifalme Tanzania ndio ukaishi Iran wakati uchumi wa Tanzania hata uuzidishe mara 20 hufiki iran
Wewe ni Muajemi? Povu la nini sasa?
 
Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Ni kweli mkuu
Usd1=42,350.00 Iranian rial
 
Usithubutu nikipata Muda ntakwambia ila usithubutu Kwenda Iran kuna kazi moja ya serikali nilitumwa na PM nifanye kwenye mataifa hayo hasa kuhusu Suala la how people invest in some countries na mashart yao nikajifanya nataka kuwekeza Kumbe nakusanya data za Tanzania Yaan za kutusaidia jinsi ya kuwabana wawekezaji na mashart ya nchi kadhaa ili tuyakopi ila IRAN ni nchi ya Kipuuzi sana
 
Huwa haukosi Cha kuiponda Iran eti maisha ya iran magumu km hyo Dola 100 hauwezi kuishi kifalme Tanzania ndio ukaishi Iran wakati uchumi wa Tanzania hata uuzidishe mara 20 hufiki iran
Ostadh usd 1=42,350 Iranian rial
Ukichukua 42,350×usd 100=4,235,000usd

Unajua usd 4,235,000=92,000,000????
Hiii unaoa wanawake 10 wa Iran na unawalisha bila wasiwasi
 
Huwa haukosi Cha kuiponda Iran eti maisha ya iran magumu km hyo Dola 100 hauwezi kuishi kifalme Tanzania ndio ukaishi Iran wakati uchumi wa Tanzania hata uuzidishe mara 20 hufiki iran
Ostadh
Screenshot_20221024-011959_Chrome.jpg
 
Usithubutu nikipata Muda ntakwambia ila usithubutu Kwenda Iran kuna kazi moja ya serikali nilitumwa na PM nifanye kwenye mataifa hayo hasa kuhusu Suala la how people invest in some countries na mashart yao nikajifanya nataka kuwekeza Kumbe nakusanya data za Tanzania Yaan za kutusaidia jinsi ya kuwabana wawekezaji na mashart ya nchi kadhaa ili tuyakopi ila IRAN ni nchi ya Kipuuzi sana
Mkuu hebu ongezea madini tupate kuelewa.🙏
 
Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Mkuu acha bana yaaani laki mbili ya bongo uende ukaishi kifalme Iran , unataka kusema iran imekua masikin kiasi hicho , acha kujidanganya
 
Hiyo 230,000 ni sawa 92ml za Kitanzania
 
Back
Top Bottom