100x2300= 230000Kama 3milion za kwetu ama!, angalia mkuu kumbuka "when a deal is to good thing twice" iyo pesa hata nachingea tani ndan huko hamna kit hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100x2300= 230000Kama 3milion za kwetu ama!, angalia mkuu kumbuka "when a deal is to good thing twice" iyo pesa hata nachingea tani ndan huko hamna kit hapo.
Nyie watoto mmefundishwa vitisho madrassa huko mnaanza kuvileta na huku. Inaonesha shehe alikunajisi utotoni maana unawashwa sana.Wewe choko una uanaume gani kiazi wewe? Mwanaume hawezi kua na akili inayowaza kukashifu udini tu,halafu hicho ki id fake kisikupe kiburi sana.
Halafu wale janaa si wana asili ya kiarabu?Kumbe unaweza kuwa ni mtego jamaa anautega?
Hili jukwaa limekuwa halina hadhi tena ya kuitwa la KIMATAIFA!!!!!!Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Iran imebakia kidogo ipigwe mnada. Ukifika na dola 100 za kimarekani hata ayatollah atakuja uwanja wa ndege kukupokea.Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Wewe ni Muajemi? Povu la nini sasa?Huwa haukosi Cha kuiponda Iran eti maisha ya iran magumu km hyo Dola 100 hauwezi kuishi kifalme Tanzania ndio ukaishi Iran wakati uchumi wa Tanzania hata uuzidishe mara 20 hufiki iran
Ni kweli mkuuNaomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Tsh 1=42,350 Iranian rialYeah saivi kule raia wa kawaida kununua mkate ni mtiti
Ostadh usd 1=42,350 Iranian rialHuwa haukosi Cha kuiponda Iran eti maisha ya iran magumu km hyo Dola 100 hauwezi kuishi kifalme Tanzania ndio ukaishi Iran wakati uchumi wa Tanzania hata uuzidishe mara 20 hufiki iran
OstadhHuwa haukosi Cha kuiponda Iran eti maisha ya iran magumu km hyo Dola 100 hauwezi kuishi kifalme Tanzania ndio ukaishi Iran wakati uchumi wa Tanzania hata uuzidishe mara 20 hufiki iran
Mkuu hebu ongezea madini tupate kuelewa.🙏Usithubutu nikipata Muda ntakwambia ila usithubutu Kwenda Iran kuna kazi moja ya serikali nilitumwa na PM nifanye kwenye mataifa hayo hasa kuhusu Suala la how people invest in some countries na mashart yao nikajifanya nataka kuwekeza Kumbe nakusanya data za Tanzania Yaan za kutusaidia jinsi ya kuwabana wawekezaji na mashart ya nchi kadhaa ili tuyakopi ila IRAN ni nchi ya Kipuuzi sana
Mkuu acha bana yaaani laki mbili ya bongo uende ukaishi kifalme Iran , unataka kusema iran imekua masikin kiasi hicho , acha kujidanganyaNaomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Lakini kwanini ninyi ni watu wa shari sana?Hongera kwa kupata Bwana Irani..andaa Begi nenda.
Hiyo 230,000 ni sawa 92ml za KitanzaniaMkuu acha bana yaaani laki mbili ya bongo uende ukaishi kifalme Iran , unataka kusema iran imekua masikin kiasi hicho , acha kujidanganya