Jamaa wa Iran kanikaribisha nikatalii nchini kwao akisema nikiwa na Usd 100 nitaishi kama mfalme

Jamaa wa Iran kanikaribisha nikatalii nchini kwao akisema nikiwa na Usd 100 nitaishi kama mfalme

Mkuu acha bana yaaani laki mbili ya bongo uende ukaishi kifalme Iran , unataka kusema iran imekua masikin kiasi hicho , acha kujidanganya
Wamepata inflation kama ya Zimbabwe kwahiyo usd ina thamani kubwa sana kwasasa kwasababu hela yao imepoteza thamani.
 
Wamepata inflation kama ya Zimbabwe kwahiyo usd ina thamani kubwa sana kwasasa kwasababu hela yao imepoteza thamani.
Ona bei za hotel hii inaitwa Nikom court hotel iko Tehran
Screenshot_20221024-014004_Chrome.jpg
 
Lakini kwanini ninyi ni watu wa shari sana?
Mbona jamaa aneuliza swali zuri tu?

Je unajua usd 1=42,350 Iranian rial?
Huyo sisi ndio tunamjua,lengo la thd yake sio kabisa kama ulivyoelewa wewe,wala haihitaji akili kubwa kutambua lengo la mleta mada.
 
Nyie watoto mmefundishwa vitisho madrassa huko mnaanza kuvileta na huku. Inaonesha shehe alikunajisi utotoni maana unawashwa sana.
Wewe kafiri kama unaona unatishwa basi endelea kuamini hivyo,

Hongera kwa kupata Mume Iran.
 
Wewe nawe una kiherehere sana. Huoni umuhimu wa hilo swali? Akili yako ipeleke gereji maana itakuwa imejazwa aya za ujingaujinga.
Uchizi ulio nao ni mkubwa kupitiliza
Nchi iliyo wekewa vikwazo kwa zaidi ya miaka 50 lakini bado inajimudu

Haijaja kwako kukuomba chochote kile
Unakurupuka kuongea utumbo

Na kama unaona dollar inathamani kubwa kwako kaa na hao mabwana zako miaka yote lakini hamtaweza iangusha ile nchi
Mbwe nyinyi

Wewe upo kwenye nchi kila kitu inategemea wawekezaji kutoka nje pesa za kigeni na mengineyo na bado

Wasomi wenyewe mlio nao ni watu wa copy and paste. Bado ujadili utaikomboa nchi yako inayo kufanya uwe zuzu katika elimu unawajadili walio kuzidi katika elimu na fikra

Huo ni uzezeta

Jaribu kukaa na vidoller vyako mia kule

Kama ujatafuta bwana wa kukusaidia
Kenge wewe




Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kamikaze drone 1 ya Iran inauzwa 20k Usd sawa na 46,000,000Tsh. Na wameiuzia Urusi kamikaze 2,400 mpaka sasa. Piga mahesabu kwa hii deal ndogo Iran wana kiasi gani mfukoni hadi wawe na maisha magumu. Bado hawajauza Missiles na hatujaweka hesabu ya barrels za mafuta karibu 1m kwa siku. Iran sio Sanya juu
 
Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Yeye na wewe mtakuwa makapuku,laki 230,000 ndio zitakusaidia nini? Hata kama kwao ni 500k hamna kitu..

Tahadhari usije shikishwa ukuta huko.
 
Naomba mnisaidie kama taarifa hizi ni za ukweli maana huyu jamaa anasema nikifika Tehran na usd 100 nitaishi kifalme kwasababu hela yao imepoteza thamani na maisha yamekuwa magumu sana kutokana na vikwazo vya magharibi.
Chai
 
Back
Top Bottom